Je, mahusiano bila mchepuko yanawezekana?

"Eureka" !! Nimegundua wanaosema wanatosheka na mke mmoja ni wanafiki" wana nyumba nyingi ndogo mtaani. Hakika mwanaume hatosheki na mke mmoja. Wakristu mjitafakari na imani yenu.
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu sio wabunifu hawajishughulishi wakiwa kwa bed mara wengine wanasema wapenzi wao sio wasafi wengine huenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna ule msemo kuwa mke anatakiwa awe malaya kwa mume wake lakini wengi hawafanyi hivyo.

Na wanaume wengi unakuta wanaogopa kuwaambia wapenzi wao ukweli wakihofia kuwakwaza au kukorofishana na wapenzi wao na wengine hata wakiambiwa hawafanyii kazi matokeo yake wazee baba wanatoka nje kutafuta kile alichoshindwa timiza mpenzi wake.

Sasa nini cha kufanya maana tokea enzi hii kitu ipo shida nini hasa nini suluhu ya kudumu ya hii kitu.

Je, kweli kuna mwisho wa michepuko? Je, mahusiano bila kuchepuka yawezekana??
jibu ni haiwezekani
 
"Eureka" !! Nimegundua wanaosema wanatosheka na mke mmoja ni wanafiki" wana nyumba nyingi ndogo mtaani. Hakika mwanaume hatosheki na mke mmoja. Wakristu mjitafakari na imani yenu.
wachungaji wenyewe wanashindwa kujizuia wanachepuka kama kawa halafu anawaombea kondoo wake wasichepuke
 
Mwanamke mmoja ni mama mzazi tu...😋
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, asilimia kubwa ya wanaume tukikutana kwenye vile vikao vyetu ikiletwa mada ya kwanini unachepuka asilimia kubwa husema kuwa wapenzi waliokuwa nao sio watundu sio wabunifu hawajishughulishi wakiwa kwa bed mara wengine wanasema wapenzi wao sio wasafi wengine huenda mbali zaidi na kusema kuwa kuna ule msemo kuwa mke anatakiwa awe malaya kwa mume wake lakini wengi hawafanyi hivyo.

Na wanaume wengi unakuta wanaogopa kuwaambia wapenzi wao ukweli wakihofia kuwakwaza au kukorofishana na wapenzi wao na wengine hata wakiambiwa hawafanyii kazi matokeo yake wazee baba wanatoka nje kutafuta kile alichoshindwa timiza mpenzi wake.

Sasa nini cha kufanya maana tokea enzi hii kitu ipo shida nini hasa nini suluhu ya kudumu ya hii kitu.

Je, kweli kuna mwisho wa michepuko? Je, mahusiano bila kuchepuka yawezekana??
Siku sex itakapo chukuliwa serious kwenye ndoa kama vikao vya vikoba hizi thiridi zitapungua humu.
 
"Eureka" !! Nimegundua wanaosema wanatosheka na mke mmoja ni wanafiki" wana nyumba nyingi ndogo mtaani. Hakika mwanaume hatosheki na mke mmoja. Wakristu mjitafakari na imani yenu.
Mbona tafakari uliyo wapa wakristu umesha ifafanua hapo juu.
 
Waswahili usema dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzake
 
Kondoo unaowachunga ukimla mmoja ni halali. Utatafuta kondoo nje ya kundi lako? Unaowachunga unawajua zaidi.
 
Je, mahusiano bila kuchepuka yawezekana??

Jibu: inawezekana ila nakuhakikishia performance lazima itapungua.
 
Back
Top Bottom