advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 261
- 90
Habarini wakuu,
Two major school of houghts, zinakinzana, baadhi ya watu wamekuwa mstari wa mbele kwa kusema Rais Magufuli ni moja kati ya viongozi wachache waliowahi kutokea duniani, wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema Magufuli ni Malaika,
Ukiwasikiliza wakina Humphery Polepole, akina Musukuma wanakuaminisha kuwa Magufuli ni kiongozi bora na mwenye sifa kemkem
Ukifaatilia wanasiasa wapinzani, utajiaminisha kwa rais magufuli hastahili sifa anazozipata!
Mbali na viongozi wa wapinzani baadhi ya wananchi wamekuwa wakipinga vikali hatua nyingi zinazofanywa na rais, japokuwa hawaonekani kutokana na uhuru wa kuongea,
Je Magufuli anapewa sifa asizostahili?? Au hatumpi sifa zake??