Je, Magufuli anapewa sifa nyingi zaidi anavyostahili au hapewi sifa za anazostahili?

Wanompinga wako sahihi na wanaompenda wako sahihi, kwa sababu wote wana sababu za kuwa hivyo. Hata Mungu wapo wanampinga na wapo wanaomkubali. It's nature.
 
Genge linalomshabikia rais ni kubwa na kazi anazofanya nikubwa zinaonekana kwa macho ya Watanzania, hata nchi zinazoitwa zimeendelea zinamiundo mbinu yakakutosha, hiyo ndiyo anata Magufuli tufike huko, demokrasia bila maji, Umeme, barabara, Afya, elimu, nikujitanganya.
 
watu kama magufuri huwa wanazaliwa kipekee.nyota kali hadi dunia inajiuliza kulikoni mbona hatukutegemea mtu mwenye akili kubwa kama hii
Hahahahahahaa hahahahahahaa.kweli dunia ina mambo
 
Who is this unifying figure?? Jiwe?? Imbecile
"Another one" Birds of the same feathers flock TOGETHER-
I have no time to engage myself in a war of words
I have driven out my point.
By disparaging me as Imbecile won't change the fact that we do have a President who should be respected by all CITIZENS of this country, regardless of our party inclinations!
Siku njema!
 
Habarini wakuu,

Two major school of houghts, zinakinzana, baadhi ya watu wamekuwa mstari wa mbele kwa kusema Rais Magufuli ni moja kati ya viongozi wachache waliowahi kutokea duniani, wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema Magufuli ni Malaika,

Ukiwasikiliza wakina Humphery Polepole, akina Musukuma wanakuaminisha kuwa Magufuli ni kiongozi bora na mwenye sifa kemkem

Ukifaatilia wanasiasa wapinzani, utajiaminisha kwa rais magufuli hastahili sifa anazozipata!

Mbali na viongozi wa wapinzani baadhi ya wananchi wamekuwa wakipinga vikali hatua nyingi zinazofanywa na rais, japokuwa hawaonekani kutokana na uhuru wa kuongea,

Je Magufuli anapewa sifa asizostahili?? Au hatumpi sifa zake??
Msemo wa kizuri chajiuza na kibaya chajitembeza. Nguvu kubwa inayotumika kusifia na kumtangaza kwa sifa asizokuwa nazo inadhihirisha kuwa nkiongozi mbovu, asiye na sifa ya urais ila analazimisha kusiwa na kutukuzwa. Mimi namuona kama ni rais mbovu kuliko wote waliomtangulia na namfananisha na aliyekuwa rais wa uganda Idi Amin Dada
 
Dictator uchwara anaependa kiki...! Mpenda TV....MTU ambae anatumia nguvu nyingi kupendwa na kulazimisha kukubalika. Anayependa kuombewa ila akiambiwa kutubu ugomvi
 
"Another one" Birds of the same feathers flock TOGETHER-
I have no time to engage myself in a war of words
I have driven out my point.
By disparaging me as Imbecile won't change the fact that we do have a President who should be respected by all CITIZENS of this country, regardless of our party inclinations!
Siku njema!
That's not fact but a fallacy.
Respect is not given but earned. Imbecile.
 
That's not fact but a fallacy.
Respect is not given but earned. Imbecile.
Insidious comments, not worthy of any response..

Hurling insults at me will not add any value or validate your ignorance!
If you do not like {HIM} please keep that to yourself!!.
 
One more thing. {HE} has earned both our RESPECT and admiration.
Insidious comments, not worthy of any response..

Hurling insults at me will not add any value or validate your ignorance!
If you do not like {HIM} please keep that to yourself!!.
Maybe respected by Chama Cha Majinga CCM, nincompoop
I haven't insulted you, just stated the fact that you've what is being described by psychiatrists as severe intellectual disability.
 
Ukiona mtu kama musukuma, kibajaji, pole pole, mlinga, nk wanakumwagia sifa lukuki unatakiwa kujifanyia tathmini ya hali ya juu sana.
Maana inawezekana aidha ww ni kichaa zaidi yao au mpo katika level moja ya ukichaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Au ukiona Prof Kabundi ,Dr Mwakyembe wanakataa maandiko na maneno yao...
Lazima ujiulize not only what went wrong...but also who made it went wrong...
Troubleshooting inaonyesha tumepata root cause...
Let's work to remove it...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maybe respected by Chama Cha Majinga CCM, nincompoop
I haven't insulted you, just stated the fact that you've what is being described by psychiatrists as severe intellectual disability.
I think what is troubling you is what we call it "HPD". "Histronic Personality Disorder".
Being unstable emotionally and having distorted SELF image.
Even going to the extent of denying that the word "IMBECILE" Isn't an insult. Interesting!!!!

Did you expect me to accept or being in unison with you in your unpalatable language and comments?
I am sorry to say tell that to the birds.
Your misdemeanor is your undoing!!!
 
I think what is troubling you is what we call it "HPD". "Histronic Personality Disorder".
Being unstable emotionally and having distorted SELF imanage.
Even going to the extent of denying that the word "IMBECILE" Isn't an insult. Interesting!!!!

Did you expect me to accept or being in unison with you in your unpalatable language and comments?
I am sorry to say tell that to the birds.
Your misdemeanor is your undoing!!!
Imbecile
 
Back
Top Bottom