Je, Magufuli anapewa sifa nyingi zaidi anavyostahili au hapewi sifa za anazostahili?

advocate kiza

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
262
225
Habarini wakuu,

Two major school of houghts, zinakinzana, baadhi ya watu wamekuwa mstari wa mbele kwa kusema Rais Magufuli ni moja kati ya viongozi wachache waliowahi kutokea duniani, wengine wanaenda mbali zaidi kwa kusema Magufuli ni Malaika,

Ukiwasikiliza wakina Humphery Polepole, akina Musukuma wanakuaminisha kuwa Magufuli ni kiongozi bora na mwenye sifa kemkem

Ukifaatilia wanasiasa wapinzani, utajiaminisha kwa rais magufuli hastahili sifa anazozipata!

Mbali na viongozi wa wapinzani baadhi ya wananchi wamekuwa wakipinga vikali hatua nyingi zinazofanywa na rais, japokuwa hawaonekani kutokana na uhuru wa kuongea,

Je Magufuli anapewa sifa asizostahili?? Au hatumpi sifa zake??
 
shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
7,895
2,000
The guy is a lunatic devoid of logic and reasoning. I don't regard him to be a rational human being

Sent using Jamii Forums mobile app
Are you not being iirrational when you cast aspersions on the Head of State who is our National unifying figure?.
Of course you don't have to agree with him in everything.

However that does not JUSTIFY you being disrespectiful by hurling and spewing insults!!!
It is both ironical and absurd when you yourself use derogatory language "DEVOID of reasoning" and respect.
Kindly mind your language or just simply shut up if you have nothing to say.
 
PumziNdefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
566
1,000

Who is this unifying figure?? Jiwe?? Imbecile
 
Kalamu1

JF-Expert Member
Jul 7, 2018
6,925
2,000
Hivi Twaweza walisemaje vile, hadi wakasambaratishwa? Hawa wangeweza kusaidia kidogo kujibu swali lako.
Tutamuuliza nani sasa anayeweza angalau kuwasilisha maoni ya wengi wetu bila ya kusema uongo au kuogopa kusema ukweli?

Mwanzoni palikuwepo wimbo wa "Bulldozer" umeshika chati sehemu mbalimbali duniani. Wengine wakatamani tuwaazime kwa muda na wao wakafaidi #whatcanMagufulido? Hivi nyimbo hizo bado unazisikia popote?

Labda tuwaombe hao walioko huko nje watupe mrejesho wao. Bado wanamtaka?

Tuwaombe wao watusaidie kujibu swali lako, ambalo nina matumaini majibu yao yatakuwa ya uhakika zaidi kuliko yetu tutakayoweza kukupa wewe.
 
niah

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
6,555

Walioko nje wanajua nini wakati Pombe ametembelea Kigali na Kampala tu? Nje watu wanasoma kwenye mitandao yanayotokea nchini, labda wale wa balozi ambao sina uhakika wanapata mishahara kwa sasa. Au ulimaanisha non citizen waje na maoni yao?
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,018
2,000
Na pia baadhi ya wananchi wanafurahia na kumpongeza raisi kwa kazi nzuri anayoifanya...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzoni nilikuwa miongoni mwa hao wananchi, lkn baada ya kuanza kuuwa, kutekana kupigana risasi kufungana kwenye viroba,........ Sasa hivi sipo upande wake, asiye heshimu uwahi we wengine kwangu ni hopeless kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom