Upumbafu unaendelea hapa. Ila unaonekana kuungwa mkono coz ni ushenzi kama ushoga ivi. Poa,k mwendelee kubikiriana na kuachana n.k. Mungu atawapa nafasi mwendelee na ufirauni mlouzoea..Dunia imekwisha na Israeli itaimamarisha utawala wake. najua waislamu kwa wakristu twatofautiana mawazo ila kila la kheri
Hao wana pepo tu la ngono...kwani ni wao tu ndo waliwahi kutolewa bikra. Kila mwanamke alishawahi kuwa bikra maishani na bado tumetulia hatutafuti hao waliotuingiza mjini.
Mbona mimi nishawai kukata m2 utepe madada 3 lakini mpaka leo sajawai kutafutwa na mmja wapo kashaolewa
mi nahisi ulijitahidi kuwa gentle na baada ya pale uliwatimizia vzr ndio maana wanarudi kwasababu walipo sasa hawapati kama ulivyowapa.
Ila suala kwamba wote tupo hivyo hapana.
Aaaah ya inamana hata wewe humkumbuki tu yule naniii,maana kila ukijiuliza huo mchezo umejifunza wapi unamkumbuka...ila point yako nayo Inahusika.
ipi tena..?isije kuwa hii ninayofikiria mm hapa...teheee...Na bikira zile nyingine je? nazo utakumbukwa?
aisee huyu jamaa inaelekea alikua anajua kuwanusa..anajua hii ngoma bado au tayari
its seemes that u were not wrong to choose that name of urs, for tis ur real a wise man. Hiyo ndo shida ambayo inawasumbua hao mabinti mana kila mtu ana mipango yake ktk maisha sasa kuwa disappointed katika hilo lazima wahahe. Pia u were their first love na mpaka kukuachia uifungue hazina yao inawezekana walikupenda na kukuthamini na ndo kinachowafanya wahangaike na wewe sass just understand them na usiwaone kama ni wapuuzi ingawa ckwambii kuwa uwarudie ili hali uko katika relation na mtu mwingine.Etii eeh,ila nashindwa kuamini ilo.....mi nilihisi walijiwekea nadhiri atakaye kua wakwanza ndo awe mwenyewe siku zote,maana si wahuni wametulia kweli