Je Mabikra wote mko Hivi

Mi hata ckumsumbua aliyenitoa..........teh

Nasikia he is party of your History hata jina huwezi msahau,wala mahali pa tukio
Nimewasilisha tu
 
mmmh ivi bikira bado zipo? mi najua zilishapotea mana watoto wa siku hizi....
 
mmmh ivi bikira bado zipo? mi najua zilishapotea mana watoto wa siku hizi....

Hawawezi kuisha si kila mtu anazaliwa hajawahi,labda awe mtundu wa kupanda baiskeli
 
asante Malema, kumbe wanaume hakuna bikira ila wanaitwa domo density=mass per volume! Nitajitunza bro
Wewe ni domo zege tu, hamna lolote mdogo wangu! ila kama ni kweli jitunze hivyo hivyo utampata demu bikira na utafurahia maisha kama mm, unanipata?
 
Hao wana pepo tu la ngono...kwani ni wao tu ndo waliwahi kutolewa bikra. Kila mwanamke alishawahi kuwa bikra maishani na bado tumetulia hatutafuti hao waliotuingiza mjini.

na wewe uliparura kifua cha aliekung'oa kitu!
 
Teh teh....me nlimuacha alienibikir na wala cmkumbuk kiGame labda pesa ingawa yy anajipa moyo kuwa ipo cku ntarudi!
 
Teh teh....me nlimuacha alienibikir na wala cmkumbuk kiGame labda pesa ingawa yy anajipa moyo kuwa ipo cku ntarudi!

labda ulikutana na siyejua...wengi huwa wanaandika diary zao kwamba fulani......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…