Je Mabango ya Maandamano ya CHADEMA Zanzibar Yasomeke Vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je Mabango ya Maandamano ya CHADEMA Zanzibar Yasomeke Vipi?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by MsandoAlberto, Mar 21, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Najaribu kutafakari na kujiuliza, Je CDM wakienda kuandamana mabango yatakayoandaliwa yasomeke vipi?

  Kwa mfano;

  CCM-CUF punguzeni bei ya bidhaa?? Au yataelekezwa kwa CCM peke yake? Au Zanzibar hakuna ugumu wa maisha na hakuna haja ya kufanya maandamano?

  Labda tupate mawazo!
   
 2. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Umwagaji damu hautatokea kwa maandamano ya amani...bali kwa serikali ya ccm na cuf kutelekeza wananchi na kuwaacha yatima.
   
 4. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Yawe ccm a na ccm b
   
 5. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  PakaJimmy, halafu kuna watu hawaoni tatizo. Tuache katiba, serikali ya umoja wa taifa nk. Tujiulize mabango yaandikwaje?
   
 6. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  PakaJimmy, halafu kuna watu hawaoni tatizo. Tuache katiba, serikali ya umoja wa taifa nk. Tujiulize mabango yaandikwaje?
   
 7. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  du watu bwana siongezi sijui umefikiriaje mkuu
   
 8. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mwanza-kwetu,

  Nimefuatilia mawazo ya watu nikakosa majibu. Ngoja tusubiri tuone matokeo ya serikali ya umoja wa kitaifa.
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  I always doubt about your thinking ability. Now I proved. Maada inaelezea kitu kingine wewe unakuja na yako. Anzisha thread yako
  Back to topic. kwa sababu zanzibar ccm-cuf wanahusika basi kila lawama ziwe kwa wote japokuwa kwa viwango tofauti
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Mkuu.

  Ili mufanikiwe kupata waandamanaji huko ni vizuri kuzilenga serikali moja kwa moja bila kutaja CCM au CUF. Watafahamu wenyewe. Ninyi elekezeni makombora yenu kwa serikali. Hata hapa"bara" wapo wanaCCM ambao wanazikubali sera na kauli mbiu za CHADEMA ingawaje wameamua kubaki CCM. Lakini musisahau pia kuna wananchi wengi tu ambao si wanachama wa vyama vya siasa. Kwa hiyo si lazima mara zote kutaja CCM au CUF. Hili litawavutia wananchi wengi kushiriki maandamano mutakayoyaitisha.

  Mchango wangu. mabango yasomeke.

  1.CHADEMA inaunga mkono uundwaji wa GNU.
  2. CHADEMA kinawathamini wazanzibari.
  3. CHADEMA sasa inaunga mkono mabadiliko ya Katiba ya Zanzibar.
  4. CHADEMA inawaomba wazanzibari waikubali CHADEMA ili tuharakishe kuleta serikali tatu.
  5. Ugumu wa maisha haubagui wapi ulipo, wananchi tuzikabe serikali ili tupate afueni.
  6. Wazanzibari tuungeni mkono ili tuirejeshe Tanganyika.
  7. Wazanzibari munamudu bei ya umeme?
   
Loading...