Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Serikali yetu imejijengea sifa kadhaa ambazo zinafanya taarifa yoyote wanayoitoa kuwa na mashaka nayo kabla haujaiamini.
Niliwahi kuelezea wasiwasi wangu mapema tu katika nyuzi za wachangiaji wengine pale taarifa za Isabela, yule muathirika wa corona aliyepatikana Arusha zilipotangazwa.
Je, kwa kuwa Isabela sasa amepona kama tulivyotangaziwa, je ni ruhusa sasa waandishi wa habari za uchunguzi waweze kufanya mahojiano naye?
Waandishi wa habari za uchunguzi fanyieni kazi hii kitu.