Je, Lissu anajijenga ili kugombea Urais 2020?

Lissu anafaa kuwa waziri wa katiba na sheria, sio kuwa mh.rais, hafai huyo kuwa rais bora hata wasira kabisaaaaa!!!
 
Lissu kangonga vichwa vya habari tangu atangaze nia ya kugombea 2020 hakuna option
 
Nyie wenyewe na polisi wenu mmemjengea Lissu popularity kubwa sana kwa muda mfupi sana! Sasa hivi ukiitisha uchaguzi wa Urais na ukaweka wagombea JPM na Lissu, uchaguzi ukawa huru na wa haki bila vyombo vya dola kupendelea au kuhujumu upande wowote, ndio utajua kuwa nani ni nani!!!
Watanzania wote sio wajinga wewe na ba-vichaa endeleeni kuhangaikana kudanganyana.

Eti "serikali yenu "

Hivi wewe unalindwa na nani wakati unajamba ovyo usiku?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom