Kuliko kuweka hiyo Liquid nakushauri uweke 5D inafunika kioo kizima. Na kutoa ni kawaidaGlass ni kila kitu ...me simu ilidondoka ikaweka mistar minne kwenye kioo nkajua imefika ndan nikakaa nayo ka miez miwil later nkaenda toa kuweka ingine you cant believe ile crack haikufika kwenye kioo then after simu ikawa mpya with no cracks
Haitoki hiyo ndo life time..ni ngumu sana..haivunjiki wala kupata scratch yoyote...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa ukieka kidole juu ya screen ukapiga screenshot kidole kitatokea??
sasa mkuu screenshot na screenprotectr wap na wap?
Nguvu za kiumeAthari zipi mkuu?
Zinakuaje mkuu hizo 5d glass protectorHizo touch za kuondoka na kioo potelea mbali sizihitaji mie nimezoea kutumia 5D Glass Protector maana ni nzuri haswa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sh nagp hizo 5d unazosema ww mkuu
Mkuu zinauzwa ukienda dukani ulizia glass za 5D kama upo mwanza fika lumumba Street kwenye maduka makubwa makubwa ... ZinauzwaZinakuaje mkuu hizo 5d glass protector