Sawa mkuu, hoja yangu ni kwenye cm yenyewe. Je baadae hakutakuwa na madhala ya kuhalibika kwa cm maana uwekaji wake unanitia mashaka.Haitoki hiyo ndo life time..ni ngumu sana..haivunjiki wala kupata scratch yoyote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aka inaondoka na warrantyUkiiondoa inatoka na 'touch'
dodge
Athari zipi mkuu?Zina athari
Hizo touch za kuondoka na kioo potelea mbali sizihitaji mie nimezoea kutumia 5D Glass Protector maana ni nzuri haswa ...
Sent using Jamii Forums mobile app