Faru fausta
JF-Expert Member
- Apr 29, 2017
- 218
- 143
Cc mshana jrJe, limbwata tuweke ktk kundi lipi?
Sky Eclat njoo fasta, Monkey Ngabu a.k.a Nyani Ngabu hana taarifa za MozambiqueLimbwata ni kitu cha kufikirika tu.
Kiuhalisia hakipo.
Sky Eclat njoo fasta, Monkey Ngabu a.k.a Nyani Ngabu hana taarifa za Mozambique
Rudi bongo uone, USA nani wa kukupa limbata? Hata huku kweto Huduma bora za afya ni jambo LA kufikirikaHakuna limbwata....ni mambo ya kufikirika tu hayo.
Rudi bongo uone, USA nani wa kukupa limbata? Hata huku kweto Huduma bora za afya ni jambo LA kufikirika
Ndio.Unajua nilipo sasa hivi?
Ila kinatendeka na kinaonekanaLimbwata ni kitu cha kufikirika tu.
Kiuhalisia hakipo.
Ila kinatendeka na kinaonekana
Ndio.
Upo online
Watu huwa hawa kuelewegi but when you read between the lines za comments zako kuna kitu mtu anapataLimbwata ni kitu cha kufikirika tu.
Kiuhalisia hakipo.
Ngoja mwezi wako akupe ili tujue kama hakipoLimbwata ni kitu cha kufikirika tu.
Kiuhalisia hakipo.
Ngoja mwezi wako akupe ili tujue kama hakipo
SubiriPicha ya hilo limbwata iwekeni
Haswaa! You are rightJe, limbwata tuweke ktk kundi lipi?
Buji umepinda kweli weweNdio.
Upo online