Je, limbwata lipo?

Bujibuji sikuwa ninaamini haya mambo lakini Wamakonde kutoka Ntwara mpaka Mozambique ni nyoko sana kwa mambo hayo.

Tena washenzi wale wanatumia miti tu. majani, magamba au mizizi na mganga wa kweli anakwambia utanipa asante ukifanikiwa.
Hivi mbaba anaweza kumfanyia mkewe? kama inawezekana itabidi niende mtwara faster.
 
Kwani mpaka leo bado hujawowa Bujibuji
 
Kwani bujibuji unaishi mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…