Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
- Thread starter
-
- #61
Nini hupelekea love at first sight?True love at first sight ni kitu kibaya kabisa
Meeting of the soulsNini hupelekea love at first sight?
View attachment 758777
Naomba kuwakilisha
Nini faida Na hasara zake?Meeting of the souls
Mkuu hill swali wanaume watajibu vizuriAloo hatari! JF ni jukwaa la elimu hivyo tuelimishane. Nina swali.
Hivi wale watu wanaoinyonya 'K' nao hupata madhara kama ya limbwata?
Kweli kabisaa shogaHata wanaume siku hizi wanalisha wenzi wao limbwata
Hakuna mungu,hakuna libwataMimi siamini kama lipo, imani yangu inaniambia hakuna kitu kama hicho na hakiwezi kunitokea MUNGU nisaidie.
Hakuna mungu,hakuna libwata
Hiyo video inahusu nini?Unaingizwa Mkenge.
Hiyo video inahusu utapeli wa so called waganga Tricks wanazofanya kuwaibia watu.Hiyo video inahusu nini?
Sijui kama ni mkenge!
Hayo yote Mimi niliambiwa na mama yangu mzazi tukiwa katika stori!
Na najua ana uhakika Na kile alichokua ananiambia yeye ni muhehe pure!
basi usinianike hivo jamani!! hamna kesi hapo mwenzio nilikupendaga sana!!Hahahahaha Kuna ex wangu mpaka waleo sometimes hukosea jina na kumwita mkewe jina langu...
Mkewe mwanzo alimind sana mpaka akazoea na kuamua kumuuliza mumewe.. Hivi huyo........ Ninani??
Mumewe akaamua kumueleza ukweli tu if not you was her,, she was the woman of my life
Nilishangaa sana roho ya huyo mwanamke.. Alichomwambia mumewe seems ulimpenda na unampenda sana..... Na ikitokea hata leo hii ukacheat naomba ucheat na...... Au Ukitaka kuongeza mke wa pili naomba awe..... Make namuheshimu sana nayeye atakua mkubwa mi mdogo.
Cc Smart911
Na hyo mimba uloletewa ilikuaje je uliilea au??Mimi nililetewa hadi mimba nikasamehe, nilishafumania nikasamehe, nilishaitwa majina ya watu katikati ya game nikasamehe.
Sikujua kama ningeweza kuishi bila yule mdada, after six good yrs alipata mwanaume akaniacha nikaweweseka sana mikawa mlevi ni hatari kazini hawanielewi nikakonda kwa mawazo.
Huko alikoenda alitandikwaga hadi akang'olewa jino wengine hawataki ujinga. Akajaribu kurudi kwangu akakuta moyo umekunjamana namuona kama shetani kinyago. Kila nikikumbuka ile hali najiona jinsi nlivokuwaga mjinga.
Usicheze na mapenzi.
Namuomba Mungu hii hali isije ikanirudia tena kwa mwanamke nitayeishi nae.
Hahahahaha straika anaweza otea na sio kupotea mkuu haka kamsemo kanamaana sanaaa.Ndo hapo sasa!
"Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi, straika anaweza potea"
Ha haaa haaaa nilidhani alisema potea!Hahahahaha straika anaweza otea na sio kupotea mkuu haka kamsemo kanamaana sanaaa.