Je, limbwata lipo?

Hahahahaha Kuna ex wangu mpaka waleo sometimes hukosea jina na kumwita mkewe jina langu...

Mkewe mwanzo alimind sana mpaka akazoea na kuamua kumuuliza mumewe.. Hivi huyo........ Ninani??
Mumewe akaamua kumueleza ukweli tu if not you was her,, she was the woman of my life
Nilishangaa sana roho ya huyo mwanamke.. Alichomwambia mumewe seems ulimpenda na unampenda sana..... Na ikitokea hata leo hii ukacheat naomba ucheat na...... Au Ukitaka kuongeza mke wa pili naomba awe..... Make namuheshimu sana nayeye atakua mkubwa mi mdogo.



Cc Smart911
 
Hahaha zipo nyingi ila wanasema hyo ya nyama ya chumvini ndo hukolea zaidi
Aloo hatari! JF ni jukwaa la elimu hivyo tuelimishane. Nina swali.

Hivi wale watu wanaoinyonya 'K' nao hupata madhara kama ya limbwata?
 
Mapenzi upofu , ukipenda ata maovu huyaoni....mapenzi ndivyo yalivyo hasa ukipenda kutoka moyoni jaman aliye yaleta mapenzi katuweza...
 
Limbwata ipo ukiamini, na mapenzi yapo yakikukokea hutofautishi na limbwata, all in all mapenzi ya wacha Mungu raha sana
Yani ukimpenda mtu na yeye akikupenda hata hyo limbwata yao haioni ndani...kuna raha sana kupendana
 
Hahaha,Nimecheka sana.pia nikupe pole mkubwa kwa mateso,maana hayo alikua LIBWATA,ILA ULILABWATIKA.m/mngu niepushe gonjwa hilo HATARI.
 
Limbwata lako sio la Dunia hii, lakini Na ukali wake , kwanini jamaa alienda kuoa mwanamke mwingine?
 
True love at first sight ni kitu kibaya kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…