Je, lile kanisa makao makuu ya CCM wilaya ya Kinondoni ( Mkwajuni) ni mali ya nani?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,977
Kwa wale wanaofahamu zilipo ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni nadhani mmeona ofisi ile imezungukwa na flemu za biashara na pembeni yake kuna kanisa. Leo nimetembelea mahali pale nikakuta flemu zote zimebandikwa namba mpya zinsxoanzia na CCM/01 na kuendelea. Kilichonishangaza geti la kuingilia kanisani limepewa namba CCM/32 ikimaanisha ndio namba ya kanisa, ndiposa namuuliza wakili msomi Msando je lile jengo la kanisa katika uwanja wa CCM ni mali ya chama?..... Ni hayo tu, ahsante!
 
Nawahi seat......mambo ya kidini mi siyaelewagi kabisa
 
Angalau na wewe umeuliza swali leo. Hongera, umeanza kupata akili
 
Kwa wale wanaofahamu zilipo ofisi za CCM wilaya ya Kinondoni nadhani mmeona ofisi ile imezungukwa na flemu za biashara na pembeni yake kuna kanisa. Leo nimetembelea mahali pale nikakuta flemu zote zimebandikwa namba mpya zinsxoanzia na CCM/01 na kuendelea. Kilichonishangaza geti la kuingilia kanisani limepewa namba CCM/32 ikimaanisha ndio namba ya kanisa, ndiposa namuuliza wakili msomi Msando je lile jengo la kanisa katika uwanja wa CCM ni mali ya chama?..... Ni hayo tu, ahsante!
Aliekutwa na Ngozi ndie alieiba Ng'ombe,
We kama Hilo Kanisa umelikuta ndani ya uzio wa CCM basi itakua ni Kanisa lao,
Perhaps ukute hata ni mojawapo ya vitegauchumi vyake, kwamba mapato yatokanayo na sadaka hapo yapo accounted at Lumumba Street
 
Nadhani kamati ya Dr Bashiru Ally itakuja na majibu!
 
Unataka kujua ili ukawabatize? johnthebaptist ? Sasa kama ulipita maeneo hayo si ungemuuliza mchungaji ? Au ungemuuliza mjumbe wa shina wa chama?
 
Mkuu mimi nilikuwa najua zile flemu ndio mali ya CCM japo zimebinafsishwa, sasa kuona na kanisa limepewa namba ya CCM ndio nikastaajabu!
 
Sioni mantiki ya kujua mmiliki wa kanisa, anyway waliopo pale ote ni wapangaji tu
 
Back
Top Bottom