Je! Lema Anatamani Kufungua Kanisa Arusha?

Je! Lema Anatamani Kufungua Kanisa Arusha?

voicer

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
5,545
Reaction score
11,943

Hii ni kwa mujibu wa kinachoendelea hapo Arusha kwa sasa.
Ni vita kati ya Nabii mkuu Geordave na anayeitwa Nabii na wafuasi wake pia!
Godbless Lema!

Naomba msikilize na siweki neno langu hata moja.

Mapovu kwa wahusika Ruksa!
 
Manabii wa uongo akiwamo huyo wa Arusha wameonywa watubu na kuacha kuwadanganya watu wa Mungu.

Nabii Gani hakemei DHAMBI? Upanga umenyooshwa juu ya manabii wa uongo wanaopachafua patakatifu pa patakatifu.

Tusubiri.
 
Kwa hiyo battle lihamie hapa JF

Ila mimi kwa mtazamo wangu.. Huyu nabii achunguzwe vyanzo vyake vya mapato..
 
Manabii wa uongo akiwamo huyo wa Arusha wameonywa watubu na kuacha kuwadanganya watu wa Mungu.

Nabii Gani hakemei DHAMBI? Upanga umenyooshwa juu ya manabii wa uongo wanaopachafua patakatifu pa patakatifu.

Tusubiri.
Ngoja tuone ni nani wananchi wanamkubali...
Ila wewe naona huna bundle hivyo hujaifuatilia hiyo Clip ila umerukia mjadala tu.

Hao Rai wamemuacha Lema kweupe!
Wamehoji alichowafanyia akiwa mbunge aliyedumu kwa miaka 15.

Mambo yanaenda kwa kasi sana.
 
Nyuma ya Nabii wa UONGO yupo mrisho gamba😳😳😳
 
Ni biashara nzuri ambayo TRA hawakubabaishi . Pato zuri bila jasho, ili mradi ujue namna ya kucheza na akili za watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom