Je, laptop nzuri ina sifa zipi?

Naomba msaada wa link ya kudownload window 7
 
Wewe ni guru kwenye jukwaa hili lá Tech. Big up sana kwako






Kilindoni
 
Mkuu laptop ipi kali naweza pata kwahiyo bajeti ya 800000?
 
Mkuu, HP Envy Model No.15-UO10DX
kuna jamaa anataka kuniuzia inafaa kwa matumizi ya kawaida?
specs zake zikoje.

Kaniambia battery haikai na chaji naweza kupata kwa bei gani?
 
Mkuu laptop ipi kali naweza pata kwahiyo bajeti ya 800000?
800k mpaka 1m ni core i3 mpya, gen ya 8 mpaka 11, kwa i5/i7 gen hizo hizo unapata used.

Na kama unachukua used unaweza pia ukaangalia yenye dedicated gpu hata ndogo Nvidia ama radeon.
 
Mkuu, HP Envy Model No.15-UO10DX
kuna jamaa anataka kuniuzia inafaa kwa matumizi ya kawaida?
specs zake zikoje.

Kaniambia battery haikai na chaji naweza kupata kwa bei gani?
Hio ni gen ya 4, matumizi ya kawaida si mbaya. Specs nyengine angalia upande wako nenda my computer kisha right click kisha properties.

Battery zake sijui kama zipo hapa Tz, ila online naiona bei ya kawaida $24.

Angalia na bei pia iwe chini ya 500k
 
Kuna Toshiba Satellite C50A nauza Tsh 300,000/= tu. Bei haipungui
Specifications zake ni
HDD-500Gb
RAM-4GB
Processor Intel 1.8ghz
 
[emoji1756][emoji1756][emoji1756]
 
wakuu vipi Hp elitebook revolve 810.

kwa matumizi ya chuo.

Na yupo jamaa anataka kuniuzia Macbook pro 2009. Naomba ushauri kati ya hizo mbili nichukue ipi na kwanini. Natanguliza shukran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
800k mpaka 1m ni core i3 mpya, gen ya 8 mpaka 11, kwa i5/i7 gen hizo hizo unapata used.

Na kama unachukua used unaweza pia ukaangalia yenye dedicated gpu hata ndogo Nvidia ama radeon.
Tatzo used naweza pigwa tu.
 
Unaweza pigwa ndio ila risk ni ndogo kwa laptop compare na simu ama vifaa vyengine vya electronics.

kama unaogopa nunua tu mpya mkuu.
Maeneo yapi naweza pata Used? Maana mimi nipo mkoani shinyanga na nilisikia wanachuo wanapo maliza chuo ndio unaweza pata kitu kizuri.
 
Wakuu Kuna mtu kanitumia mashine hii budget yangu ilikuwa laki 3 anasema Hp folio 9580m core i5 ram8 gb500 hdd nauliza kwa wenye eperience hizi hazinaga matatizo nisije kuingia mtego
 
Karibu mkuu upate laptop unayotaka kwa Bei ya kawaida...,
Laptop ya 250000 ni kama ifuatayo
Processor Intel 1.6 ghz
Ram 4gb
He'd 320gb
Battery 2hrs
Size medium 13'3 au 14.0
Laptop ya 300000
Processor core2 Due 1.8ghz
Ram 4gb
HDDs au SSD 500gb , 256 fb
Battery 3hrs
Size ya kioo 14.0 au 15.6

Laptop ya 350000
Processor core i 3, 5 4th Generation and above
Ram 8gb
HDDs, SSD 500gb, 256gb
Battery 3 hrs and above.

Laptop 500,0000
Processor core I 5 5th Generation 2.4ghz above.
Karibu location
Ilala karume
Call 0682202114.
 

Attachments

  • Screenshot_20250409_010538_Chrome.jpg
    435.2 KB · Views: 20
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…