Click alama ya kusearch kisha andika
Dxdiag
Kitatokea kiprogram kifungue, itafunguka tab click display itakuonesha aina ya Gpu iliyopo kwenye laptop
Alternative search device manager ingia kwenye graphics pia utaona.
Pia Mara nyingi laptop yenye dedicated gpu inakuwa na sticker kwa juu ya Nvidia, radeon ama XE
Zina namba ndio Sema nyingi sana na mambo ya kuangalia ni mengi ila kwa Nvidia unaangalia namba ya katikati.Asante cheif,pia naomba kujua je hizi graphics cards hua zina pimwa vp yani nazo hua na number kama processor labda core i3 ,i5,i7 n.k
Laptop inakuwaje "Kali" wakati betri imekufa?? Acha ubabaishaji.Inategemeana unatafuta laptop kwa matumizi gani, Mara nyingi wanaangalia processor na Storage capacity:
kwa garama hiyo uliyo nayo utapata laptop ya kawaida mno njoo nikupe Toshiba kali ila betri imekufa ya kubadili nakupa kwa 225, 000/ tu
Duhh,Kidogo nimepata mwongozo ila naomba unifafanulie kwa undani zaidi kuhusu hizi graphics card mkuu maana mimi nina aspire kua graphics designer na napenda sana pc gaming sasa naomba nipe mwanga juu ya graphic cards na aina ya laptops zinazofaa kwa kazi hizi ata kama sio kwa kirefu ila hata briefley kama ulivyo fanya hapo juuZina namba ndio Sema nyingi sana na mambo ya kuangalia ni mengi ila kwa Nvidia unaangalia namba ya katikati.
Mfano
GT 920M
Gt 940M
Gt 950M
Gt 960M
Gt 970M etc
Hapo namba ya katikati inaashiria nguvu, kwa hizo zinazoanza na 9.
1030
1050
1060
1070 etc
Hizo nazo ni nguvu kwa 10 series unaangalia no ya kati
Gtx 970 ama 960 ina nguvu kuliko 1030.
Sababu no ya kati ni kubwa.
i7 ni shilingi ngapi kwa sasa mkuu?Usinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.
Cha muhimu Angalia processor na generation. Kama budget ni ndogo laki 2 mpaka 3 hio gen ya 2 mpaka ya 4 used Unapata, i3/i5/i7
i7 zipo nyingi gen ya kwanza mpaka gen ya 11 na unaweza pata as cheap as laki 2 mpaka milioni 10 na kuendelea.i7 ni shilingi ngapi kwa sasa mkuu?
Sawa mkuu. Na ipi nzuri kati ya Dell au Hp kwa matumizi ya kawaida tu kam kusomea, kucheki movie n.k?i7 zipo nyingi gen ya kwanza mpaka gen ya 11 na unaweza pata as cheap as laki 2 mpaka milioni 10 na kuendelea.
Ngumu sana kuelezea, kifupi, ila ukichagua machine nzuri cpu wise, gpu pia itakuwa nzuri. Machine yoyote generation ya 8 kupanda ama Yenye Amd ryzen na dedicated gpu itakuwa nzuri.Duhh,Kidogo nimepata mwongozo ila naomba unifafanulie kwa undani zaidi kuhusu hizi graphics card mkuu maana mimi nina aspire kua graphics designer na napenda sana pc gaming sasa naomba nipe mwanga juu ya graphic cards na aina ya laptops zinazofaa kwa kazi hizi ata kama sio kwa kirefu ila hata briefley kama ulivyo fanya hapo juu
Ukichagua laptop brand pia si muhimu sana.Sawa mkuu. Na ipi nzuri kati ya Dell au Hp kwa matumizi ya kawaida tu kam kusomea, kucheki movie n.k?
Lenovo w520Ukichagua laptop brand pia si muhimu sana.
Matumizi ya kawaida core i3 inatosha, yoyote kuanzia gen ya pili.
Kwa matumizi ya kawaida ssd ni muhimu zaidi, itafanya machine kuwa faster kuliko ku chagua i7 over i3.
achana nayo mkuu, bei kubwa sana na quadro si gpu ya gaming, hio ni ya proffesional wanaofanya kazi za cad na zifananiazo.Lenovo w520
Core i7 2nd generation
Ram 16 gb
Invidia quadro 1000
Hdd 1tb
Fifa 19
Mortal kombat xl
Gta 5
Assassin creed
Watch dogs
Euro truck
Pes 2021
Red dead redemption 2
Blur
Price. 650k
Shukran chief mkwawa.achana nayo mkuu, bei kubwa sana na quadro si gpu ya gaming, hio ni ya proffesional wanaofanya kazi za cad na zifananiazo.
kwa 650k kupanda unapata gpu nzuri zaidi.
Ofisi yako iko wapi mkuu?i7 ni shilingi ngapi kwa sasa mkuu?
BRAND: HPachana nayo mkuu, bei kubwa sana na quadro si gpu ya gaming, hio ni ya proffesional wanaofanya kazi za cad na zifananiazo.
kwa 650k kupanda unapata gpu nzuri zaidi.
Gen ya 3 achana nayo kwa hio bei, ama Muulize hio graphics ni ipi.BRAND: HP
MODEL: ELITEBOOK 8470P
HARD DISK: 750GB
RAM : 8 GB
GRAPHICS MEMORY: 4GB
BATTERY: Masaa 4
PROCESSOR: Core i5, 2.6 Ghz
UKUBWA WA KIOO: 14.0 Inches
CONDITION: Imetumika 3 months haina mkwaruzo
BEI: 550,000 Tshs
Kaka nisaidie nimeiona hii, vipi nipe ushauri
Sory chif, kwa sasa unarecomend kuanzia gen yangapi atlist?Gen ya 3 achana nayo kwa hio bei, ama Muulize hio graphics ni ipi.
Laptop haiuzwi kwa kuangalia ukubw wa RAM wala ukubwa wa Hard disk wala core i5 bali kwa kuangali generation.BRAND: HP
MODEL: ELITEBOOK 8470P
HARD DISK: 750GB
RAM : 8 GB
GRAPHICS MEMORY: 4GB
BATTERY: Masaa 4
PROCESSOR: Core i5, 2.6 Ghz
UKUBWA WA KIOO: 14.0 Inches
CONDITION: Imetumika 3 months haina mkwaruzo
BEI: 550,000 Tshs
Kaka nisaidie nimeiona hii, vipi nipe ushauri
Kama una uwezo wa kifedha gen ya 11 ama Amd ryzen 5000 series ndio nzuri zaidi.Sory chif, kwa sasa unarecomend kuanzia gen yangapi atlist?
You are one of highly important person here in Jf, shukrani sana mkuu. Nakukubali sana. Endelea na moyo huohuo na utafika mbali sana chif.Kama una uwezo wa kifedha gen ya 11 ama Amd ryzen 5000 series ndio nzuri zaidi.
Sema budget zetu hizi za kitanzania ngumu mtu kutoa mamilioni ya Hela kununua laptop, wengi wetu tu nanunua laki 6 kushuka
Gen ya 2 mpaka ya 7 haitofautiani sana uwezo wa cpu, ila gpu za ndani kuna utofauti mkubwa, ndio maana unaona tuna recommend generation kubwa.
Ila kama Unapata Gen ya 2 ama ya 3 ina gpu ya Nvidia nzuri si mbaya unachukua, sababu ile weakness ya Gpu ya ndani inakuwa imeondoka.
Kama unanunua yenye gpu ya ndani ndio unaangalia na budget. Budget yoyote ya laki 3 kupanda angalau gen ya 4 Tafuta.
Ikifika budget laki 4 kupanda i3 Gen ya 6 ama ya 7, mpaka laki 6 Angalia i5 Gen ya 6/7
Budget Ikifika laki 8 unaanza kuangalia laptop mpya sasa.