Vladimir Lenin
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 3,613
- 5,138
Shukran kwa kuchanguia mkuu, nahitaji kwaajili ya matumizi madogo madogo tu kama kusomea, kuhifadhia movies & series, na documents mbali mbali.Kwahiyo bei sio kwamba hautapata, ila itakua na specs za chini sana.
Cha kwanza, unalenga kuitumia hiyo laptop kwa mambo gani? Kuhifadhi kumbukumbu za biashara, kusomea, kutengenezea video n.k. hiyo itaamua ukubwa na uwezo wa laptop unayoihitaji...
Ya mwaka gani mkuu, storage yake ni ngapi.Inategemeana unatafuta laptop kwa matumizi gani, Mara nyingi wanaangalia processor na Storage capacity:
kwa garama hiyo uliyo nayo utapata laptop ya kawaida mno njoo nikupe Toshiba kali ila betri imekufa ya kubadili nakupa kwa 225, 000/ tu
[emoji3516]Shukran kwa kuchanguia mkuu, nahitaji kwaajili ya matumizi madogo madogo tu kama kusomea, kuhifadhia movies & series, na documents mbali mbali.
Ina ukubwa gani mzee, storage capacity.[emoji3516]
KWA MATUMIZI HAYO,
LETE 320,000/- NIKUPE HP YANGU MATATA SANA.
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
Ok mkuu, Asante sana kwa ufafanuzi na ushauri.CPU(Ubongo wa computer) uwe ni kuanzia icore 5 na ukubwa wa disk iwe ni kuanzia GB 500 na kuendelea. Chukua HP ndizo zinazodumu ninayo yangu huu mwaka tano, ingia kariakoo na uwe na mtu anayejua computer kiuandani utapata komputer kali kwa bei rahisi
Mkuu sifa za computer ni hiziHabari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha,
Budget yangu ni laki 250000 - 300000.
So wanajukwa naomba kueleweshwa zaidi na ikiwezekana kama kuna mdau ambae anayo tufanye biashara.
Mjadala wote ni hapa hapa jukwaani.
Ok mkuu, kama unayo iweke tu hapa hapa jukwaani na specific zake yawezekana ukapata na mteja mwingine zaidi.Mkuu sifa za computer ni hizi
1.Processor yake ndiyo speed ya machine
2. Storage capacity ya machine yaani Hard disk drive au solid disk drive
3. Ram ya computer
4. Display screen nchi ngapi 14.0, 15.6
5. Battery inakaa kwa muda gani
* Nitafute kwa msaada wa kununua na kuuza yako used
Nichek 0714894219
Mkuu ipo Mac book proOk mkuu, kama unayo iweke tu hapa hapa jukwaani na specific zake yawezekana ukapata na mteja mwingine zaidi.
Usinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.Habari wakuu, natafuta laptop used, kabla ya hilo naomba kupewa abc na wataalam kuhusu pc nzuri na yenye storage ya kutosha,
Budget yangu ni laki 250000 - 300000.
So wanajukwa naomba kueleweshwa zaidi na ikiwezekana kama kuna mdau ambae anayo tufanye biashara.
Mjadala wote ni hapa hapa jukwaani.
Asante sana chief kwa umenitoa tongo tongo nilikuwa sijui.Usinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.
Cha muhimu Angalia processor na generation. Kama budget ni ndogo laki 2 mpaka 3 hio gen ya 2 mpaka ya 4 used Unapata, i3/i5/i7
vp kuhusu graphic card ya pc mkuu nayo inakua na mantiki unapo chagua au haina maana sana?Usinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.
Cha muhimu Angalia processor na generation. Kama budget ni ndogo laki 2 mpaka 3 hio gen ya 2 mpaka ya 4 used Unapata, i3/i5/i7
graphics ina mantiki, ila unapochagua pc kwa budget ndogo ni almost impossible kukuta ina dedicated graphics.vp kuhusu graphic card ya pc mkuu nayo inakua na mantiki unapo chagua au haina maana sana?
Naomba kujua namna ya kuweza kujua graphics card iliyopo ndani ya computerUsinunue computer kwa kuangalia storage, storage ni kitu kinabadilishwa dakika 1 tu, pia usinunue kwa kuangalia ram nazo zinabadulishika. Naweza kutafuta machine ya core 2 duo Machinga kwa 150k nikakuwekea ram 8gb na hdd 1TB ukapagawa ukatoa laki 3 ama Zaidi lakini kumbe nimekupiga.
Cha muhimu Angalia processor na generation. Kama budget ni ndogo laki 2 mpaka 3 hio gen ya 2 mpaka ya 4 used Unapata, i3/i5/i
Click alama ya kusearch kisha andikaNaomba kujua namna ya kuweza kujua graphics card iliyopo ndani ya computer