Je Kylian Mbappé ni mchezaji mwenye gundu?

Je Kylian Mbappé ni mchezaji mwenye gundu?

Kumbe ulisikia ila huna ushahidi? Wahenga husema "there's no right to talk in the republic without having an imperical evidence".

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
anaitwa Ines Rau transgender ambae Kylian Mbappe alikuwa akiichimba, aliamua kuachana nae baada ya several fans attacks. NOTE: transwoman na shoga ni walewale tu
 
Mbape ana kombe la Dunia la 2018 waliwafunga Croatia na anachezea Timu bora duniani ndugu yangu upo vikindu unasema ana gundu daah...
 
Kuna namna huwa ninamfuatilia Mbappe hususan kwenye mechi kubwa kubwa, Kwa kifupi ni mpambanaji na huwa anascore magoli, lakini mwisho wa siku timu yake huwa haipati ushindi!

Kuanzia ile World cup finals, France vs Argentina, Mbappe aliscore magoli zaidi ya mawili lakini hawakushinda, Leo pia kwenye El classico hii pamoja na nyingine iliyopita, Huwa ana score lakini ushindi wa timu hakuna!

INASHANGAZA.
All in all, Barcelona Bingwa, Yanga Bingwa.
Kumbe hili ni lishabili la Yanga😬 Mbape ana world cup mpuuzi wewe. Kwenye Barcelona umepatia, Ila hatuchezi fc labda kombe walisikie tu.
 
Name: Mbappe

Age: 26

Country: France

Occupation: professional footballer.

Position: Offside
 
Back
Top Bottom