chama kinaongozwa na mtu alie asi na mmiliki danguro halafu anatuambia kimeletwa na mungu.hizi zambi zingine ni za kujitakiaMleta mada mbona unatumia mafumbo sana.
Unamaana ndio sababu DR akaacha vile vyeo vyake vingine vyote ili akamilishe ukombozi?
Mpango wa mungu siku zote malengo yake ni kumfanya binaadamu afkie lengo la kuupata ufalme wa mbinguni na wala sio malengo ya kidunia kama ilivyo CDM. Angalia usije ukaibua mengine hapa! warning.
Utawala wa serikali ya CCM unafanana na ule utawala wa Farao!Mleta mada mbona unatumia mafumbo sana.
Unamaana ndio sababu DR akaacha vile vyeo vyake vingine vyote ili akamilishe ukombozi?
Mpango wa mungu siku zote malengo yake ni kumfanya binaadamu afkie lengo la kuupata ufalme wa mbinguni na wala sio malengo ya kidunia kama ilivyo CDM. Angalia usije ukaibua mengine hapa! warning.
kumhusisha Mungu katika mambo ambayo Mwenyezi amkupa kufikiri ni upofu wa matarajio yajayo.Binafsi naamini uwepo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini(CHADEMA) ni matokeo ya mwenyezi Mungu kusikia kilio cha watanzania cha muda mrefu cha kuondokana na utawala wa CCM.
Hii ndio maanana CHADEMA ni tofauti na vyama vingine vyote vya upinzani nchini.Kinahimili misukosuko yote kwa nguvu za Mungu na hakika kitawakomboa watanzania dhidi ya kunyanyaswa,kuibiwa,kudhulumiwa,kuonewa na kila aina ya udhalimu anaoupata mtanzania wa leo.
Ujasiri wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mpango mahususi wa mwenyezi Mungu kama ilivyokuwa mpango wa Mungu kumtuma Mussa kuwaokoa wana wa Israeli.
Usibishe kabla ya kutafakari kwa makini.
Nawasilisha.
chama kinaongozwa na mtu alie asi na mmiliki danguro halafu anatuambia kimeletwa na mungu.hizi zambi zingine ni za kujitakia
Wafuasi wengi wa cahdema wanaamini hivyo. Ndio maana hawatulizi akili kusikiliza kama chadema inaongea jambo lolote la msingi, wao wanafuata tu kwa sababu wanaamini viongozi wa chadema ni mitume iliyoletwa na Mungu. Hii haijatokea accidentaly, chadema inaratibu mbinu mbalimbali za kuwalaghai watu kuwa Mungu kawatuma wao kwao.
Hii ni hali ya kawaida kwa chama kisichokuwa na sera inayouzika kuanza kutumia imani za watu kuwalaghai. Tatizo kubwa la tabia hii ni kwamba watu wengi wanaamini Mungu kupitia tasisi za imani za kiroho, kwahiyo tabia hii ya ulaghai wa chadema inaiweka jamii katika tension ya siasa za imani za kiroho.
Hiki chama ni cha kidini,tumeshakishtukia,hata maneno ya wshabiki wake ni ya kidini,tuwe makini wa Tanzania.Binafsi naamini uwepo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini(CHADEMA) ni matokeo ya mwenyezi Mungu kusikia kilio cha watanzania cha muda mrefu cha kuondokana na utawala wa CCM.
Hii ndio maanana CHADEMA ni tofauti na vyama vingine vyote vya upinzani nchini.Kinahimili misukosuko yote kwa nguvu za Mungu na hakika kitawakomboa watanzania dhidi ya kunyanyaswa,kuibiwa,kudhulumiwa,kuonewa na kila aina ya udhalimu anaoupata mtanzania wa leo.
Ujasiri wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mpango mahususi wa mwenyezi Mungu kama ilivyokuwa mpango wa Mungu kumtuma Mussa kuwaokoa wana wa Israeli.
Usibishe kabla ya kutafakari kwa makini.
Nawasilisha.
Binafsi naamini uwepo wa chama cha Demokrasia na Maendeleo nchini(CHADEMA) ni matokeo ya mwenyezi Mungu kusikia kilio cha watanzania cha muda mrefu cha kuondokana na utawala wa CCM.
Hii ndio maanana CHADEMA ni tofauti na vyama vingine vyote vya upinzani nchini.Kinahimili misukosuko yote kwa nguvu za Mungu na hakika kitawakomboa watanzania dhidi ya kunyanyaswa,kuibiwa,kudhulumiwa,kuonewa na kila aina ya udhalimu anaoupata mtanzania wa leo.
Ujasiri wa viongozi na wabunge wa CHADEMA ni mpango mahususi wa mwenyezi Mungu kama ilivyokuwa mpango wa Mungu kumtuma Mussa kuwaokoa wana wa Israeli.
Usibishe kabla ya kutafakari kwa makini.
Nawasilisha.
Mleta mada mbona unatumia mafumbo sana.
Unamaana ndio sababu DR akaacha vile vyeo vyake vingine vyote ili akamilishe ukombozi?
Mpango wa mungu siku zote malengo yake ni kumfanya binaadamu afkie lengo la kuupata ufalme wa mbinguni na wala sio malengo ya kidunia kama ilivyo CDM. Angalia usije ukaibua mengine hapa! warning.
Chama cha kidini,muwe,makini.Utawala wa serikali ya CCM unafanana na ule utawala wa Farao!
Watanzania wa leo hawana tofauti na waliokuwa wana wa Israeli.
Mungu habagui kwani wote sisi kwake ni sawa!
Aliwakomboa watu wa mataifa mengine na sasa ni Tanzania.