Je, kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu?


umeandika kama vile upo kwenye utungu wa mimba ya mtoto wa kwanza please kajifungue kisha ndo urudi humu
 

hope huipendi Tz, ubinasfi tu umekuzidi.
 

Sema kabisa mhusika ni CCM na serikali yake. Sehemu zote Duniani penye serikali ya kishikaji mambo kama haya hujitokeza.
Siyo wote wachafu CCM ila the majority is dirty na wanaumia sana hao wasafi
 

Kimetoka katika mk** wako.
 
Muulize shoga mwenzio KIKWETE

Hivi usalama wa taifa wapo kweli! na kama wapo basi nashangaa kwanini mbaka dakika hii huyu hajakamatwa na kufikishwa kwenye vyombo vya sheria na kuthibitisha hiki anachokisema.
 
CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU? Hivi Mungu anapanga mema pekee kwa wanadamu au hata mabaya ili waweze kujifunza na kuacha kutenda dhambi? Ile gharika iliyopelekea NUhu kujenga Safina ili kuviokoa viumbe wa Mungu siku ya mwisho si ulikuwa ni mpango wa Mungu? SODOMA na GOMORA si ulikuwa ni mpango wa Mungu? KUPINDULIWA KWA HUSSEIN MUBARACK na kuwekwa MORSI kule MISRI ulikuwa mpango wa mungu?

Wanaosema CHADEMA ni Mpango wa Mungu wako sahihi kabisa kwa vile mpango wa Mungu unakuwa na maana nyingi sana kwa viumbe wake. Binafsi kwa mtazamo wangu CHADEMA ni Mpango wa Mungu ili Watanzania waone, wajifunze na kuchukua tahadhari kubwa katika mfumo wa vyama vyingi ambao kwa kiukweli kama siyo busara za baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pengine hivi leo tusingekuwa na vyama vingi hapa nchini.

Mimi ni mfuasi wa vyama vyote vya siasa nchini kwa vile ni haki yangu ya msingi kikatiba lakini ninao uhuru wa kusema chama hiki hakijanifurahisha, na nianze bila kumumunya maneno kuwa yawezekana kabisa CHADEMA ni chama cha siasa lakini wafuasi wake na hasa viongozi wake siyo wanasiasa wa kweli na hapo ndipo mojawapo ya tafsiri ya neno MPANGO WA MUNGU hujidhihirisha kama ilivyokuwa mpango wa Mungu wa kuwapa wanadamu wa kizazi cha NUHU dalili za nini kitatokea pale alipomwamuru NUHU kujenga SAFINA.

Tabia za viongozi wa CHADEMA hasa Dr, SLAA, LEMA ni za hatari sana kwa mstakabali wa Taifa hili ambalo Amani ni tunu kwalo. Husda , wivu, chuki binafsi, uroho wa Madaraka, uchonganishi unaofanywa na viongozi hawa kuichonganisha serikali na wananchi wake ni dhambi ambayo haiwezi kuwa na mwisho, ni sawa na kula NYAMA ya MTU. Kitendo cha watu kuandaa mipango ya ulipuaji wa mabomu eti kwa sababu tu wanataka kukidhoofisha chama tawala na serikali kwa ujumla ni kitu cha kawaida hicho, hakika huu ni MPANGO wa Mungu kwa CHADEMA ila watanzania bado tumelala hatujaling'amua hili. Tujifunze kutoka MISRI ambapo naweza kumfananisha MURSI na SLAA. Tazameni CHADEMA walivyopanda majukwaani haraka sana pindi haya matukio yalipotokea hata kabla wale waliofariki kutokana na mikutano ya kupumzizwa makao yao ya milele, Kifo cha MWANGOSI, kifo cha yule kiajna wa Iringa, mgomo wa wanachuo kule Arusha, milipuko miwili ya Mabomu kule Arusha. Kwa nini majukwaani kuomba huruma ya wananchi hata kabla marehemu hawajazikwa? hapana jamani binafsi sina imani tena na hiki chama.

TUKUMBUKE KUWA MPANGO WA MUNGU UNAWEZA KUWA NA MAANA NYINGI KWA BINADAMU, NEEMA AMA GHARIKA kwa wale watakaofanya mzaha.
 
hili somo kubwa sana kwa watanzania,lakini chadema ni mpango wa shetani kwani palipo na mungu au roho mtakatifu shetani hachezi mbali.
 
Duh,unajua umetoa tuhuma nzito sana ndugu?hebu tuletee ushahidi ili watanzania tuwachukulie hatua.lakini maneno matupu kama haya yako hayana uzito na tija kabisa.sapoti maneno yako kwa ushahidi tena wenye nguvu na uzito.
 
SLAA sijui tatizo ni ile damu ya kimasai?
 
Duh,unajua umetoa tuhuma nzito sana ndugu?hebu tuletee ushahidi ili watanzania tuwachukulie hatua.lakini maneno matupu kama haya yako hayana uzito na tija kabisa.sapoti maneno yako kwa ushahidi tena wenye nguvu na uzito.

Hivi hapa mnataka mleta mada alete ushahidi gani, ina maana hamuone mambo ambayo SLAA na LEMA wanafanya? kweli watu wengine humu ni TOMASO.
 

mkuu chadema nakifananisha na kundi la kondoo au mbuzi ambao wawapo marishoni kila mnyama hupambana anufaike kwanza yeye.


ndani ya chadema huendeshwa siasa za masilahi kila mtu anataka anufaike yeye kabla ya mwenzake mpango wa kusaidia wananchi haupo zaidi kujinufaisha viongozi wao zaidi.
 

Siyo vibaya ukiitazama na kusikiliza video hii..
 
Last edited by a moderator:
Duh,unajua umetoa tuhuma nzito sana ndugu?hebu tuletee ushahidi ili watanzania tuwachukulie hatua.lakini maneno matupu kama haya yako hayana uzito na tija kabisa.sapoti maneno yako kwa ushahidi tena wenye nguvu na uzito.

mkuu haya mambo yako wazi sana hasa kwa lema kule arusha hakuna asiyejua kuwa lema ni mporaji,mhuni,hupiga watu, na kufadhili vikundi vya kiharifu akiwemo yeye.
 

Mipango ya Mungu iwa kwa mwanadamu siku zote ni mizuri. Mungu alimwumba mwanadamu ili amtumikie. Lakini kama mwanadamu ataghiri na kuwa dhulumati hataepuka gharika kama wakati wa Nuhu. Aidha, Mungu aliumba mtu mume na mke wakazaane. Lakini wakiamua wanaume kugeukiana na kuanza ushoga Mungu hataacha kuwaadhibu kama alivyofanya kwa Sodoma ja Gomora. Kiumbe kikishindana na Mungu hataacha kukiadhibu kama ilivyokuwa kwa Lusifa ambaye sasa ni Shetani. Mungu siku zote humwazia mwanadamu yaliyo mema. Akitii atafaidi. Akikaidi ataadhibiwa.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
adhabu ya mungu chadema hawataikwepa daima mungu siyo mchaga anawapenda watu wake na ukweli utabaki kuwa ukweli.
 
mkuu haya mambo yako wazi sana hasa kwa lema kule arusha hakuna asiyejua kuwa lema ni mporaji,mhuni,hupiga watu, na kufadhili vikundi vya kiharifu akiwemo yeye.

hapo juu yaelekea unampenda sana Kamanda....
 
Majiziya richmond ndiyo mpango wa Mungu, mpaka ikifikia Waziri na rais wana umbuana juu ya fedha haramu za kufisidi nchi' mbana mwenyekiti alikuwa anajua kila kitu juu ya mipango ya Richmand!" huu ndiyo mpango wa Mungu.
kama serikali itakuwa inafuga mapolisi walaghai kwamba mwangosi alipigwa na kitu kizito ndiyo mpango wa Mungu. Kama kuja kupiga propaganda ili upate buku saba ndiyo mpango wa Mungu, basi huyu si Mungu tunaye mjua sisi, huyu ni mungu wa kagoda na meremeta!
 
Kweli, tusi si lazima ili kumtusi mtu lakini maneno yanatosha. Mnalipwa nini nyie watu? Unathubutu kuwatukana viongozi waliochaguliwa na wananchi ati ni wanyan'gany wa kutumia silaha na wafadhili wao?? Mwenye thread, mbona sasa umeigeuka serekali yako??? Ati hawawezi kuona hao wasambaza ghasia. Angalia, wamekudharau hata hawachukui hatua kwa sababu umeandika hadithi za Abunwasi tu. Ati umekichukia cdm, ulikuwa nacho lini hicho chama?? Songa mbele na gamba lako. Bado mtalia sana
 
Chadema ni mpango mwema wa Mungu nudge zangu na siku zone mti wenye matunda ndio unarushiwa mawe.acheni chadema kiendelee kuelimisha wananchi jamani.slaa na lema wako vizuri kwenye Chama na mchago wao unaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…