Je, kwa wale walioinvest MTFE ni nini maono yenu juu ya hii platform? Future yake ikoje?

Rangooo

Senior Member
Feb 12, 2022
196
322
Habari wana JF,

Kwa wale ambao wamejiunga na ni investors wa MTFE na ambao wanaifaham vizuri mnaonaje uwepo wa hii platform na ni nini future aspects zake, je itaweza kuwepo kwa mda mrefu?

Ingawa mtandaoni inakua criticized sana kuwa ni scam ila imelast for a while sio kama platform nyingne.

Naombeni mawazo yenu katika hili.
 
Soma Quora nao ni forum kama JF lakini, sema ina watu wengi wenye akili na exposure kuliko JF

 
Back
Top Bottom