Je, kwa ufaulu huu anaweza kusoma CPA ya uhasibu?

jina langu

Member
Jul 16, 2017
54
97
Habari wakuu kwa matokeo haya

English D
Kiswahili D
Civics F
Biology D
geography C
B.math C
History D

Four ya 27

Hayo matokeo ni ya 2012 ,Sasa nataka kujua Kama ataweza kusoma CPA na aanzie wapi na itamchukua muda gani kumaliza na vipi kuhusu ada
Pia Kama Kuna vyuo vinavyotoa hio course nitashukuru Sana nikivijua

Ahsante
 
Tafuta center inaitwa KAS wapo Mnazi mmoja kama upo Dar,Wanatoa hizo course za ATEC-CPA huyo anasoma kuanzia nadhani Atec,kuna jamaa yangu yeye hata cheti hakuwa nacho cha form 4 alianzia foundation course kaja nabe 1na nabe 2 sasa hivi anaitafuta CPA.
 
Ahsante mkuu maana nimeona sehemu sijui inabidi uwe na credit tatu na anko hapo anazo mbili tu, vipi kuhusu mihula yao Yani kumaliza course moja kwenda nyingine interval yake ikoje?
 
Ahsante mkuu maana nimeona sehemu sijui inabidi uwe na credit tatu na anko hapo anazo mbili tu, vipi kuhusu mihula yao Yani kumaliza course moja kwenda nyingine interval yake ikoje?
Kama uko Dar nenda ukaulizie....mimi sifahamu wanalipa aje ila anko vigezo anavyo mpaka vimepitiliza,huko watakupa maelekezo maana akishasajiliwa anakuwa anafanya mitihani ya bodi ya uhasibu.
 
Kama uko Dar nenda ukaulizie....mimi sifahamu wanalipa aje ila anko vigezo anavyo mpaka vimepitiliza,huko watakupa maelekezo maana akishasajiliwa anakuwa anafanya mitihani ya bodi ya uhasibu.
Ahsante mkuu
 
Pia kuna Centre inaitwa Covenant iko vizuri mm nasoma....jamaa pia kakutajia nyingne hapo nadhani wanaiita kwa rashidi sijui, ila ukitaka mawasiliano nao naweza kukupa
 
Unaeza ukaenda Dsm cpa review Centre (dcrc) iko upanga shule ya msingi. (Nyuma ya mahakama ya kisutu).

Ukifaulu vizuri level moja, unapewa scholarship ya level nyingine
dsm_cpa_review_center-20220115-0004.jpg
dsm_cpa_review_center-20220115-0005.jpg
 
Back
Top Bottom