Je, kwa nini zikaitwa Sehemu za Siri

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Ni kwamba zikionekana watu wataota, au ni sehemu ambazo hatutakiwi kuziona kabisa? Kama ni sehemu za siri ina maana hakuna mtu anatakiwa kuziona au kuzijua zikishaonwa basi hizo siyo tena siyo sehemu za siri.

Mbona watu wakiwa faragha zinaonwa vizuri kwa nini ziwe sehemu za siri na wakati kila mtu ameshaziona.

Kwa nini ziitwe sehemu za siri?
 
Hujaelewa maana ya sehemu za siri si hivyo viungo uvionavyo vya jinsi

Sehemu za siri ni vilivyopo ndani ya hizo jinsi yani urethra cjui ureter

Hizo ndizo sehem za siri ila kwakua imezoeleka kua sehemu za siri ndizo hizo jinsi lakini si hivyo

Sent from my Iᴩʜᴏɴᴇ 11 Pro using JamiiForums.com mobile app
 
Back
Top Bottom