Je, kwa bajeti ya laki 3 naweza kupata iPad?

Je, kwa bajeti ya laki 3 naweza kupata iPad?

likabuje

Member
Joined
Oct 11, 2014
Posts
31
Reaction score
4
Hope mko poa members....kwa bajet tajwa hapo juu naweza kupata ipad? Ukinitajia aina na specifications zake itakuwa poa zaid..
 
Hope mko poa members....kwa bajet tajwa hapo juu naweza kupata ipad? Ukinitajia aina na specifications zake itakuwa poa zaid..

Njoo pm ,, ipo ipad 3 , gb 64 ila itabidi uongeze ongeze ..
 
Daa kuna majibu yanakatisha tamaa.....ila nadhani ameelewa
 
Nmegundua ciwez kupata japo majibu meng yamekuja kwa namna ambayo ciyo nzuri....by the way i thank u all for u ar advice.
 
Hope mko poa members....kwa bajet tajwa hapo juu naweza kupata ipad? Ukinitajia aina na specifications zake itakuwa poa zaid..
UTAPATA. achana na hao wanaoropoka. ukikosa hapa nenda fb kuna groups nyingi post unachotaka na budget yako utapata vitu halali kabisa, usinunue tablet za kichina, nunua iPad origina, japo used utafaidi. Ukikwama sema tukupe maelekezo zaidi.
 
ipad ni tabs za apple.... kwa hiyo lk 3...no.
tafta tab yoyote utapata kwa hela yako
 
Back
Top Bottom