Livanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2010
- 469
- 148
Mkuu nafikiri umeelewa vibaya waziri kasema wamepnguza kiwango cha chini hakutaja lingine. kama amepandisha kiwango cha tozo kwa wafanyakazi so far hatujui coz haikutajwa. Nafikiri wote tuvute subira watakapoanza kuijadili bajeti tutaelewa vizuri baada ya ufafanuzi. Najua wengi tumechoka hiki chama (eti cha uhuru hahaha) na tuna hamu ya kukingoa tujipange 2015 kwa kishindo kama watanzania wazalendo kwa nchi yao.
Naomba kuwasilisha.
Naomba kuwasilisha.
Bajeti ya serikali iliyosomwa na waziri wa fedha inaonesha kuwa baada ya ya serikali kuongeza mishahara(kwa wafanyakazi wake wa serikali)imerevenge kwa kuongeza kodi ya mishahara hii inamaana kuwa mshahara uliongezwa kwa kiasi kidogo ila kodi imeongezwa kwa takribani 30% ss maana yake kuwa mshahara ulioongezwa ni kiini macho tu na kamwe haimsaidii mfanykazi,je ww mtazamo wako ukoje?