DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 31,636
- 81,533
Kwa kanuni za bungeni , ni ruksa mbunge kutukana matusi .?
Ikiwa matusi hayaruhusiwi je inakuaje Mbunge anaongea lugha Kali zenye viashiria Vya matusi na hachukuliwi hatua yoyote?.
Kwakuwa sehemu Kama Bungeni ni sehemu ambayo zamani iliaminika inawakutanisha watu Fulani wenye upeo wa juu wa kuchambua mambo ya nchi Kama sheria n.k
Tuwe makini zamani MTU alikuwa anaweza kufanya vituko Ila sasa watu wanaweza kukufatilia hata wakiwa mbali .