Je, kuoa ni chachu ya mafanikio kiuchumi au chanzo cha umasikini kwa mwanaume?

Hahaha
Elon musk alioa mke gundu na bado ni bilionea.
Jef bezo alioa gundu na bado ni bilionea
Mleta mada mi naona hizo point zimekaa ki mfumo dume sana.
Hata wanaume wana ma gundu kama yote kuna mdau nimeona mahal anataka kwenda kutambika.
Swali langu je huyo mzee anamaendeleo makubwa au ni wale wale waganga njaa.
 
Epuka kuoa mwanamke mwenye sumu Ili usife mapema.
Poison women ndo chanzo cha vifo vya mapema vya wanaume.
Wanaume kuishiwa Nguvu za kiume.
Wanaume kuwa walevi
 
Aisee kuna midume ina gundu la msinambi. Kuna jirani a mmoja mtaani alikuwa aki mtukana mkewake nanukuu
"Wewe mwanamke una mkosi wa ajabu una gundu la ulimwengu! Tokea nimeanza kuishi na wewe miaka 10 sasa sifanyi kitu!"
MAJIBU YA MWANAMKE
Nanukuu
" Wewe ndo una gundu la dahari, Kabla hujanioa nimejenga nyumba 2,umenikuta nina gari 2 na akaunti ilikuwa na kitita kwa gundu lako hata Mia nikiishika haifanyi kazi!!!"
Hii inaonesha ni kwa jinsi gani wapo pia MADUME WENYE GUNDU!!!
 
KILA mwanaume mwenye mafanikio yupo mwanamke nyuma yake na KILA mwanaume masikini yupo mwanamke nyuma yake
 
Tena gundu baya kweli kweli

Ingawa macho yako yamekuwa km ya kipofu hujaona upande wa pili wa post ambao kimsingi ukipatia kuoa unakuwa na mafanikio makubwa.

Umeona upande uliopo tu
Kama gundu analo mwenyewe? Unazani wanawake hawapati shida wakiolewa na wasio eleweka? Nyie ndiyo huwa watoa misukule wake zenu kisa mali
 
Back
Top Bottom