Je, kuoa ni chachu ya mafanikio kiuchumi au chanzo cha umasikini kwa mwanaume?

Kama gundu analo mwenyewe? Unazani wanawake hawapati shida wakiolewa na wasio eleweka? Nyie ndiyo huwa watoa misukule wake zenu kisa mali

Sasa km huna faida na unapoteza mali Ilizopo kwanini tusikutoe msukule ukarudishe mali ulizopoteza

Mwanamke ana gundu baya sana.Ukitaka mwanaume anayeeleweka chagua wewe,tongoza wewe mtolee mali muoe otherwise wewe inachagia impact flani kwenye maisha usipoleta hiyo impact unakuwa mzigo maana umeghalamiwa kuwekwa ndani ili uwe na mchango kwenye maisha ya mtu
 
Ili tusiende mbàli zaidi, namshukururu Mungu sijakutana na mtu wa aina.yako wala nisingeweza hata kuishi naye wiki moja
 
KWA KIFUPI KWA SASA KUOA NI HATARI KWA MAISHA YA MWANAUME.

KWA TAARIFA YAKO WANAUME AMABAO HAWAJAOA, AU WALIOA NA KUAMUA KUISHI WENYEWE/KUJITENGA WANA MAISHA MAREFU KULIKO WALE WALIOKO KWENYE NDOA.

EBU NA WEWE ANGALIA HUKO UNAKOISHI.
 
Mambo ya ndoa ni masuala ya kiroho zaidi ya tunavyoyachukulia,na hata kama utakuwa umekosea kuoa au kuolewa bado toba ndio suluhisho la pekee la kumfanya Mungu aingilie kati ili kuweza kukunasua....
 
Ni kweli hayo mambo yapo ila wanawake na wanaume wote wana mikosi sema inatofautiana tu. Mimi nina ushahidi wa mhudumu mmoja wa bar aliniambia kuna jamaa yake akimpa tunda tu yaan mambo yanakuwa safi ila kuna wengine mmh majanga.. kwa hiyo haya mambo yapo ila ni kwa pande zote mbili msiigemee upande wa mwanamke tu hata sisi wanaume tuna gundu.
 
Hahaha
Elon musk alioa mke gundu na bado ni bilionea.
Jef bezo alioa gundu na bado ni bilionea
Mleta mada mi naona hizo point zimekaa ki mfumo dume sana.
Hata wanaume wana ma gundu kama yote kuna mdau nimeona mahal anataka kwenda kutambika.
Swali langu je huyo mzee anamaendeleo makubwa au ni wale wale waganga njaa.
Mkuu hizo gundu za hao wanawake unaweza kutupa ABC?
 
Uzuri wa mwanamke ni sura tabia mtapambana nazo humo humo akiwa mzuri utamshukuru Mungu akiwa mbaya utakuwa mwanasaikolojia utawafundisha watu utapata pesa.
All in all mtu yeyeto mwenye tabia yeye unaweza ishi nae itategemeana na ukomavu wako.
Wanawake wakorofi,mama makelele sio kwamba awawapendi waume zao.Wana upendo na wivu Sana kwa waume zao sema ile hali ndivyo walivyoumbwa.
Kama huna akili usioe kuoa kunataka akili.
 
Na ukitaka kumjua mwanaume?
Mtazame baba yake.japo wanaume awaathiriki Sana na tabia za wazazi wao japo pia hapa utegemea na maturity ya mtu.
Wanawake wanacopy na kupractize chochote wakionacho iwe kwenye tamthilia au ushauri wa mashoga zao pasipo kuedit hii uwapelekea Sana crash kwenye mahusiano yao.
 
Kama mtu anafuatilia kupitia vyombo vya habari hili swali linajijibu.
Haipiti wiki moja:
Mume aua mke na watoto wanne kwa shoka.
Mume amfumania mkewe, amlamba mapanga mgoni wake na kujisalimisha Polisi. Mke aamua kunywa sumu na kufa.
Nk, nk, nk.
Sijui hapo utauliza kitu gani?
 
Mkuu kuhusu mafanikio nijitiada zako na maarifa tu, huwezi kutegemea nyota ya mkeo kwa kukaa ndani ili pesa ijilete utakufa njaatu.
Usijfanye hulewi!! hata uwe na jitihada vipi, kisomo vipi mwanake mwenye gundu utaishia nauri tu!! na kukopwa!! mpaka mijasho ya fungus hiyoooo!! au kazi utakalia mshahara tu hkn deal!! sasa muage kidogooo! uondoke nyumbani hapo! km mwezi hivi!! weee!

kwenye uchumba jaribu kuonja onja mashin kidogo kidogo akupumulie usiku kucha halafu angalia kesho yake km week ivi je mishe zako zinasonga? unapata hela ya kutosha kumhonga?? au bilabila!!

mke mwenye kismart hata ukiuza mkaa!! watakuja watu full gari wamejaza mkaa kwa mali kauli!! utauza huo mkaa dakika sifuri, na deni unalipa faster kuliko walivo tegemea tayari umejenga uaminifu!! basi ni miezi mitatu tu!! unamfungulia mkeo kiduka!

sasa nionee wateja dukani!! huko utapewa mali kauli tu!! Bakhresa anashusha maji hapo si kitoto!! mwaka tu una nyumba saba! guest house!! sasa muache huyo uone mziki wake!...kimoja baada ya kingine!!

tena..ndo maana vidume ni malaya sana ajili ya kuonja mafanikio mbalimbali!! siyo unakaa na mke miaka mitano huna kazi na umesoma mwee stuka faster weweeeee
 
Mafanikio baada ya ndoa inategemeana na nyota ya mke wako .......kama ana nyota mbovu ..utafilisika Sana ila kama ananyota saaafi utapaishwa juu

Kumbukaa.....mnapo oana mnaunganishwa kiroho ....yaani mnashare baadh ya maagano (laana) au mafanikio........

Lejea uzi wa Mshana Jr
Your zodiac sign means nothing.Your parents met 9 months later you were born and the stars and moon had nothing to do with it. The reason you are rude,tempered and don't get along with people is not because you are Gemini or capricorn or Leo it's because you don't have sense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usijfanye hulewi!! hata uwe na jitihada vipi, kisomo vipi mwanake mwenye gundu utaishia nauri tu!! na kukopwa!! mpaka mijasho ya fungus hiyoooo!! au kazi utakalia mshahara tu hkn deal!! sasa muage kidogooo! uondoke nyumbani hapo! km mwezi hivi!! weee!

kwenye uchumba jaribu kuonja onja mashin kidogo kidogo akupumulie usiku kucha halafu angalia kesho yake km week ivi je mishe zako zinasonga? unapata hela ya kutosha kumhonga?? au bilabila!!

mke mwenye kismart hata ukiuza mkaa!! watakuja watu full gari wamejaza mkaa kwa mali kauli!! utauza huo mkaa dakika sifuri, na deni unalipa faster kuliko walivo tegemea tayari umejenga uaminifu!! basi ni miezi mitatu tu!! unamfungulia mkeo kiduka!

sasa nionee wateja dukani!! huko utapewa mali kauli tu!! Bakhresa anashusha maji hapo si kitoto!! mwaka tu una nyumba saba! guest house!! sasa muache huyo uone mziki wake!...kimoja baada ya kingine!!

tena..ndo maana vidume ni malaya sana ajili ya kuonja mafanikio mbalimbali!! siyo unakaa na mke miaka mitano huna kazi na umesoma mwee stuka faster weweeeee
Fanya kazi kwa bidii na maarifa wewe, acha kujijaza ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli hayo mambo yapo ila wanawake na wanaume wote wana mikosi sema inatofautiana tu. Mimi nina ushahidi wa mhudumu mmoja wa bar aliniambia kuna jamaa yake akimpa tunda tu yaan mambo yanakuwa safi ila kuna wengine mmh majanga.. kwa hiyo haya mambo yapo ila ni kwa pande zote mbili msiigemee upande wa mwanamke tu hata sisi wanaume tuna gundu.
Me akiwa na gundu kamwe hakai atakimbia faster mwenyewe kwa masimango!!! lkn ke anaweza vumiliwa hata akazaa!! make kidume utaenda kwa cd atakupa upako!!

hizi mambo hizi jaribuni kwa ma-CD ndo mtajua kuwa kweli kuna wanawake wana upako wa hela!!! hata ubunge unapata kwa cd mwenye kismart!!! cd ni kila kitu jaribuni huko ukitoa elfu hamsini unapata million 100! sasa huajrudi tu kwa cd
 
Fanya kazi kwa bidii na maarifa wewe, acha kujijaza ujinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utafanya kazi mpaka uchakae kwa mijasho!! wkt wenzako wanapanda ndinga kali na mpyaa!!! unyunyu kwa mbaaali! safari km zote!! wewe unangangania jackie kikwapa wako huyo, na kadri unavokaa nae unakolea umaskini!! badae unaona inakuwa kawaida!!

hata ulio soma nao wanaanza kukukwepa!! graduate but unakuwa km drs la nne!! .......km profesa jahazi! haya weee!!
kidume jitafute wapige mashine kwa uangalifu ukijua unataka nini, nani kwa vepe!! yangu ni hayo
 
Back
Top Bottom