BITTY NGUZO
Member
- May 26, 2009
- 32
- 4
Wana JF,nawauliza hivi baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna haja ya kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma?
Haja ipo saana hasa kiusalama.
Wana JF,nawauliza hivi baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna haja ya kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma?
wanasubiri mawimbi ya Tsunami ndo wahame.
Duh! na pale magogoni si ndio baharini kabisa....
Kwani makao makuu ya nchi yapo wapi hadi sasa?ninapendekeza makao makuu ya wizara zote yahamie Dodoma hata kesho!Wana JF,nawauliza hivi baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna haja ya kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma?
ndiyo mji mkuu peke yake duniani usiokuwa na traffic light (taa za kuongozea magari). .
Wana JF,nawauliza hivi baada ya miaka 50 ya uhuru bado kuna haja ya kuhamishia makao makuu ya nchi Dodoma?