Experience Kama hiyo nipo nayo.Sijawahi kumwambia mtu kuhusu hi hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu.
Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi miaka 3.
Kwanza japo amefariki zaidi ya miaka 10 sasa lakini karibu kila siku lazima naota tupo wote.
Pili, naota matukio ambayo yanatokea baadae. Nikiona jambo usiku mchana litatokea. Hii haitokei kila siku ila nikiota jambo litatokea.
Nilipokuwa nasoma kuna kipindi niliota maswali ya UE na nilikuwa sijajiandaa na mtihani. Siku hiyo niliamka nikawaambia wana nimeota maswali haya na haya yapo kwenye mtihani hawakuamini tulipoingia kwenye mtihani wakadhani nilikuwa na paper.
Kuna jamaa tuna-hang naye mtaani nikawaambia wana huyu jamaa nimeota kafuta kazi. Week 4 sio nyingi jamaa alisimamishwa kazi kwa kuiba pesa ya ofisi. Iliniuma saana kwasababu ningemsanua asingepoteza kazi.
Jana usiku jambo lililonifanya niandike uzi niliota ninapigana na mtu. Kabla hata siku haijaisha naendesha kidogo nikagusa gari la mama mmoja akatoka akaanza kunitukana lakini sikumsemesha neno.
Mfano mdogo kama nina jambo natafuta solutions nikilala basi nitaota namna ya kulitatua.
Siamini katika ulimwengu usioshikika.... I'm too realistic...sipo hapa kutafuta waganga wa kienyeji au msaada ya kiroho...I'm 100% perfect and I don't need another human being to tell me how imperfect I am.
Swali ni je Kuna watu wengine wana experience haya mambo?
100% perfect haiwezekani master!Sijawahi kumwambia mtu kuhusu hi hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu.
Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi miaka 3.
Kwanza japo amefariki zaidi ya miaka 10 sasa lakini karibu kila siku lazima naota tupo wote.
Pili, naota matukio ambayo yanatokea baadae. Nikiona jambo usiku mchana litatokea. Hii haitokei kila siku ila nikiota jambo litatokea.
Nilipokuwa nasoma kuna kipindi niliota maswali ya UE na nilikuwa sijajiandaa na mtihani. Siku hiyo niliamka nikawaambia wana nimeota maswali haya na haya yapo kwenye mtihani hawakuamini tulipoingia kwenye mtihani wakadhani nilikuwa na paper.
Kuna jamaa tuna-hang naye mtaani nikawaambia wana huyu jamaa nimeota kafuta kazi. Week 4 sio nyingi jamaa alisimamishwa kazi kwa kuiba pesa ya ofisi. Iliniuma saana kwasababu ningemsanua asingepoteza kazi.
Jana usiku jambo lililonifanya niandike uzi niliota ninapigana na mtu. Kabla hata siku haijaisha naendesha kidogo nikagusa gari la mama mmoja akatoka akaanza kunitukana lakini sikumsemesha neno.
Mfano mdogo kama nina jambo natafuta solutions nikilala basi nitaota namna ya kulitatua.
Siamini katika ulimwengu usioshikika.... I'm too realistic...sipo hapa kutafuta waganga wa kienyeji au msaada ya kiroho...I'm 100% perfect and I don't need another human being to tell me how imperfect I am.
Swali ni je Kuna watu wengine wana experience haya mambo?
Wapo wengi tu.. Na wale manabii na watabiri halisi huwa kama weweSijawahi kumwambia mtu kuhusu hi hali ambayo imekuwa inanitokea kwa miaka zaidi ya 10 sasa hasa toka nimpoteze Kaka yangu.
Tulicheza pamoja, Soma pamoja alikuwa kama best friend japo alinizidi miaka 3.
Kwanza japo amefariki zaidi ya miaka 10 sasa lakini karibu kila siku lazima naota tupo wote.
Pili, naota matukio ambayo yanatokea baadae. Nikiona jambo usiku mchana litatokea. Hii haitokei kila siku ila nikiota jambo litatokea.
Nilipokuwa nasoma kuna kipindi niliota maswali ya UE na nilikuwa sijajiandaa na mtihani. Siku hiyo niliamka nikawaambia wana nimeota maswali haya na haya yapo kwenye mtihani hawakuamini tulipoingia kwenye mtihani wakadhani nilikuwa na paper.
Kuna jamaa tuna-hang naye mtaani nikawaambia wana huyu jamaa nimeota kafuta kazi. Week 4 sio nyingi jamaa alisimamishwa kazi kwa kuiba pesa ya ofisi. Iliniuma saana kwasababu ningemsanua asingepoteza kazi.
Jana usiku jambo lililonifanya niandike uzi niliota ninapigana na mtu. Kabla hata siku haijaisha naendesha kidogo nikagusa gari la mama mmoja akatoka akaanza kunitukana lakini sikumsemesha neno.
Mfano mdogo kama nina jambo natafuta solutions nikilala basi nitaota namna ya kulitatua.
Siamini katika ulimwengu usioshikika.... I'm too realistic...sipo hapa kutafuta waganga wa kienyeji au msaada ya kiroho...I'm 100% perfect and I don't need another human being to tell me how imperfect I am.
Swali ni je Kuna watu wengine wana experience haya mambo?
Daby tunamjua siku nyingi, anatafuta mademu.Ngoja waje walokole
Haiwezekani kuwa perfect 100%.Huwezi niamini ndiyo maana mara nyingi siwaambii watu.
Na moyo ukinicheza tu lazima Kuna jambo litatokea siku hiyo hasa baya. Labda kwangu au kwa mtu wangu wa karibu.
(7,030) Paji la uso na siri ya jicho la tatu | Page 2 | JamiiForums Paji la uso na siri ya jicho la tatuLabda minute kaka Mshana Jr aje kukuoa mwongozo
Nilijua tu lazima uje umsaidie ndugu yako.Wapo wengi tu.. Na wale manabii na watabiri halisi huwa kama wewe
Hatufanani vipawa na vipajiKwanini baadhi wawe nayo baadhi wasiwe nayo mshana?
Hii mbinu tunaijua Daby!Hahaha
Nishakuwa Mzee mkuu.
Mademu ninewaachia vijana wanaokua sasa.
Nipo hapa tayariNilijua tu lazima uje umsaidie ndugu yako.
Kwa hiyo unataka awapate kirahisi tu?Nipo hapa tayari