Mimi ndiyo niko sahihi. Cardinal Laurean Rugambwa alichaguliwa kuwa Cardinal wa kwanza Mwafrika kutoka Africa akiwa ni Askofu wa Jimbo kuu la Bukoba.
Na alihudumu kama Cardinal kutokea Bukoba hadi 1968 alipohamishiwa DSM na Pope Paul VI
MABEBERU ndio wanatuchagulia viongozi?Wenye ufahamu wanijulishe huyu Cardinal mpya aliyemrithi Pengo amefanyiwa upasuaji mkubwa sana na itamchukua muda sana kurudi kwenye hali yake kwanini Papa Francis asiteue mwakilishi mwingine kwa kuwa hizi ni kazi za kutumikia watu. Au Pengo arudishwe kwenye hiyo nafasi hadi apatikane mtu mwingine.
Na kumbukumbu zangu zinaniambia kuna Papa aliwahi kuondoka kwenye kiti chake kutokana na Afya haikuwa vizuri
Nimtakie Afya njema apone haraka Mwadhama Ruwa'ichi
Mzee wangu.
Mtafutaji hachoki, wewe endelea kutafuta uwepo wa Mungu. Mimi nakuombea NEEMA ili upate kukutana na Uso wa Mungu.
Apewe uwasikofuMbiku unamanisha nini?
Wewe ndio daktari wake?Amefanyiwa upasuaji mkubwa sana itachukua muda kurudi kwenye majukumu
Kumne umemmwelewa asante inaonekana kuna kafuraha ikitokea ameshindwa kutekeleza majukumu yake kwani kunani jamani tuwe na akiba ya manenoKwani umeambiwa upasuaji aliofanyiwa huyo mrithi wa Pengo utamfanya akae benchi mda mrefu kiasi hicho? Na je wale wasaidizi wake 2? Au ndio unataka achomolewe fasta namna hiyo? Usimfanyie hivyo
Neema yake inatosha.Kwanza kabisa asante kwa kuniona namtafuta Mungu (as opposed to "Godless atheist/ kafir).
Ukweli ni kwamba, siku nikipata uhakika kwamba Mungu yupo kweli, na kuelewa kwa nini mambo yapo hivi yalivyo, nitafurahi sana.
Lakini mpaka sasa sijaona kielelezo cha kueleweka kuhusu hilo.
Ukiacha kuniombea na kuthibitisha kwamba Mungu yupo itapendeza zaidi.
Hujajibu ulichoulizwa na ulichojibu hujaulizwa.Neema yake inatosha.
Vyema,na kufikiri kwamba Mungu yupo sio tatizo au una tatizo iwapo mtu anafikiri hivyo?Mpumbavu hufikiri moyoni kwake kwamba hakuna Mungu(Zab 53:1 na kuendelea)kasome na uwe na amani moyoni mwakoKufikiri mtu anaweza kufikiri chochote. Unaelewa hilo?
Anaitwa Askofu Yuda Thaddeus Rwai'ichi na wala sio CardinalWenye ufahamu wanijulishe huyu Cardinal mpya aliyemrithi Pengo amefanyiwa upasuaji mkubwa sana na itamchukua muda sana kurudi kwenye hali yake kwanini Papa Francis asiteue mwakilishi mwingine kwa kuwa hizi ni kazi za kutumikia watu. Au Pengo arudishwe kwenye hiyo nafasi hadi apatikane mtu mwingine.
Na kumbukumbu zangu zinaniambia kuna Papa aliwahi kuondoka kwenye kiti chake kutokana na Afya haikuwa vizuri
Nimtakie Afya njema apone haraka Mwadhama Ruwa'ichi
Wewe na Muuliza swali wote hamuelewi Taratibu za Kanisa KatolikiHata kama ni wa pili. Unajua afrika kuna makrdinal wangapi. Na huyu jamaa kauliza as if ni sheria kardinal kutokaTanzania
Ulikuwepo kwenye Jopo la ma Daktari ?Amefanyiwa upasuaji mkubwa sana itachukua muda kurudi kwenye majukumu
Shetani Hilo JamaaMkuu, mbona mapema sana, mgojwa ata vidonda vya upasuaji havijakauka tayari unataka aondolewe kwenye nafasi yake? embu acheni roho mbaya, yaani mnaona wivu mpaka kwenye kazi za Mungu?
Wewe ni ShetaniMbona Pop Benedict aliwahi tu kujiuzulu bora angepumzishwa huyu
Pumbaf kabisaSina uelewa mkubwa ila nafahamu MTU akishindwa kuendelea kutokana na sababu mbalimbali Pop huchagua mwengine
Acha ku GeneralizeWatanzania wengi tulijua Pengo ndio mkuu wa Kanisa Katholiki kabla ya kupumzika
Mkuu wa Kanisa la Tanzania kiitifaki ni Rais wa TEC. Ila je Rais akiwa Askofu wa jumbo la kawaida na siyo Jimbo kuu, protocol inakuwaje?Watanzania wengi tulijua Pengo ndio mkuu wa Kanisa Katholiki kabla ya kupumzika
Inasikitisha sana kuona mkatoliki hajui mfumo wa uongozi wa kanisa lakeMkuu wa Kanisa la Tanzania kiitifaki ni Rais wa TEC. Ila je Rais akiwa Askofu wa jumbo la kawaida na siyo Jimbo kuu, protocol inakuwaje?