Je, kuna uwezekano wa kushika mimba?

Uwezekano wa kupata mimba ni mkubwa labda kama utumiaji wa uzazi WA mpango utavuruga Ila uwezo WA kupata mimba ni mkubwa Ila Kama hutaki mtoto ajaribu kumeza flagil Ila Hadi Kwa mda huu sidhani kama itafanya kazi Ila ajaribu
 
Mkuu we piga mzigo, kula hiyo mbunye kisawa sawa. Mtoto atakaepatikana huyo huyo tu.

Kaa unajidanganya eti nimelala nae nimelala nae. Piga daily mtoto anatafutwa kwa jasho.

Umenisikitisha sana, toka ametoa vijit mwezi wa sita amemla mara mbili tu? Pole.
Sio make wangu! N mchepuko tu mkuu
 
Habarini,kuna dem alikuw anatumia uzazi was mpango(vjit) kakitoa mwz wa6 ,mwez wa 7 tar 21-24 brdi,nkalal nae tar 28,mwz huu, pia kaanz brid tar 11-14,nmelala nae Leo tar 21 je kuna uwezekan wa kushka mimba? Na kam ndio ntegemee jinsia gan ya mtoto?
Mimba ipo, sijajua jinsia
 
Habarini,

Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21.

Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?
Inabidi ujue mzunguko wake wa hedhi ni wa siku ngapi na ni siku ipi ana ovulate.
Ukisha fahamu hayo ndo uje tukusaidie kujua kama kuna uwezo alipata mimba au la!
 
Habarini,

Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21.

Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?
Hakuna uwezekano labda uanze KUMKANDAMIZIA kuanzia TAREHE 23 hadi25
Habarini,

Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21.

Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?
HAKUNA uwezekano labda uanze KUMKANDAMIZIA kuanzia TAREHE 23 hadi 25 August Happ matumaini yatakuwepo mkuu
 
Habarini,

Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21.

Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?
Kuna uwezekano ukapata baby girl hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini,

Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21.

Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?
Hahaha eti nimelala nae
 
Kachanga kangu kana miezi minne kana kilo Tisa je ni sawa? Ananyonya tu maziwa ya mama.
 
Inategemea alikuwa anatumia Njia gani ya uzazi wa mpango kuna Nyingine mimba kuingia baada ya kuitoa inachukua Hata miezi 6 mingine mbele...
 
Back
Top Bottom