Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,971
- 14,536
Umekwisha achika? Naona hasira zako umezipeleka Chadema badala ya CCM ambako familia zimejigawia chama.Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama sio vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.
Nikianza na Chadema ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliopitiza kwenye safu yake ya uongozi.
Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina sheikh Ponda ndio maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?
1) Mwenyekiti wa Chadema taifa Freeman Mbowe (mkristo)
2) Makamu mwenyekiti Tundu Lisu (kristo)
3) Katibu mkuu taifa John Mnyika (mkristo)
4) Makamu katibu mkuu bara Jonson Kigaila (mkristo)
Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.
Hapo sijagusia kina mchungaji Msigwa
Aliekuwa katibu mkuu padri Slaa nk. List ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.
Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?
Pole zimuendee sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia Chadema kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa wazi wazi katika uongozi wa chama hicho.
Kubishana ubishane na mimi lakin kijambio chako umpe mwanaume mungine. Hata sikuelewiUmekwisha achika? Naona hasira zako umezipeleka Chadema badala ya CCM ambako familia zimejigawia chama.
Kwa hiyo CCM ndo Chama cha Waislamu? Akina shehe Ponda uliosema unawaonea huruma waende kwa Waislamu wenzao;Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika hapo chini.
Ndugu wanajf wenzangu mimi pamoja na wapenda amani wengine tumekuwa tukishangazwa na siasa za vyama vya upinzani ambavyo vingi kama siyo vyote vimejaa udini na ukabila uliopitiliza.
Nikianza na CHADEMA ambacho kinajinasibu kuwa ni chama kikuu cha upinzani Tanzania, naona kimejaa udini uliyopitiza kwenye safu yake ya uongozi.
Sasa unajiuliza hali hiyo imetokana na elimu ndogo waliyonayo kina Sheikh Ponda ndiyo maana hawakupewa nafasi muhimu za kuongoza chama hicho kama wenzao au ni kutokana na utaratibu wa chama chao kwamba ni lazima kiongozwe na watu wa dini yetu bila kujali elimu zao na sifa zao za uongozi?
1) Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe (Mkristo).
2) Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu (Mkristo).
3) Katibu Mkuu Taifa John Mnyika (Mkristo).
4) Makamu Katibu Mkuu bara Jonson Kigaila (Mkristo).
Kwa upande wa Zanzibar Salum Mwalim kawekwa tu kama chambo ili kuvuna kura za Wazanzibar katika chaguzi mbali mbali.
Hapo sijagusia kina Mchungaji Msigwa, aliyekuwa Katibu Mkuu Padri Slaa nk, list ni ndefu. Kesho tutaangazia ACT Wazalendo, NCCR Mageuzi nk.
Ni kwanini siasa za Tanzania zimejaa udini na ukabila katika vyama vyetu?
Pole zimuendee Sheikh Ponda na maulamaa wengine waliokimbilia CHADEMA kusaka tonge huku wakiacha ndugu zao wakibaguliwa waziwazi katika uongozi wa chama hicho.
Kuachika ni kawaida vumilia tu utazoea.Kubishana ubishane na mimi lakin kijambio chako umpe mwanaume mungine. Hata sikuelewi
Acha wabaki huko huko ili uongozi wa juu utapokuwa unawabatiza wanachama wao na wao wabatizwe pamoja nao.Kwa hiyo CCM ndo Chama cha Waislamu? Akina shehe Ponda uliosema unawaonea huruma waende kwa Waislamu wenzao;
Samia,
Kinana,
Shaka
Alhad Salum,
Mimi nilikuwa namega kisela bila kugharamia mzigo. Kwahiyo kama niliekuwa nammega kapata wa kumuhonga acha aniache nihamie kwako kula kijambio chako binti maringo.Kuachika ni kawaida vumilia tu utazoea.
Shehe Ponda siyo mwanasiasa ni kama tu alivyo alhad Salum pale Lumumba
SALUM ana KADI na Shati la kijani la ccmShehe Ponda siyo mwanasiasa ni kama tu alivyo alhad Salum pale Lumumba
Shehe wa Bakwata DSM akiwa na Mwenyekiti wa ccm DSMShehe Ponda siyo mwanasiasa ni kama tu alivyo alhad Salum pale Lumumba
Team Jiwe karibu jukwaaniHakuna..
Kazi iendelee...
Mwandishi ni mshamba sana !Uzi ulioshindwa kujitetea.