Mahari kama inavyojulikana na jamii nyingi za kiafrika kwa ujumla ni ishara ya asante kwa wazazi wa mwanamke kwa kumlea binti na hatimaye unamuoa na kumchukua kwenda kwako/kuishi nae kama mke na mume!
Sasa mimi sioni sababu ya kufanya hivi kwa sababu hakuna wife material! wote niliokutana nao wameharibika yani hawafai kabisa, sio mbele sio nyuma hakuna kwenye afadhali, kwote kunakodoa tuu sasa kuna maana gani ya kutoa shukrani kwa wazazi?
Nimekutana na mikasa kadhaa hadi nkafikia katika hii hali na kuwaambia nyinyi ndugu zangu wanaMMU.
Sio mpango wala nini
Kama hakuna wife material manake hautooa na masuala ya mahari hayatokuusu pia
Fanya mambo mengine mkuu!
ha ha ha amemuharibu mtoto wa watu halafu analeta habari za mahaliSiyo atakuwa" huyu tayari ameshakula mkuu! ni matatizo! Halafu anasema wamesharibika!
Mbona sijajibu kihasira kabisa mkuuMbona umejibu kwa hasira? Insu kama alivosema mleta mada ni kwamba, mahari ktk jamiizetu ni ishara ya asante kwa wazazi kwa kumlea binti vzr, lakini kama ameshaharibika (mbele na nyuma) kama alivosema mleta mada, kunasababu gani tena ya kulipa mahari?
akifa inakuaje mkuuMkuu mahari ni lazima kutoa hata km haijakamilika ilimradi umetoa.
Bora usifanye harusi ila mahari ukatoe.
Siku mkeo akifa ndiyo utajua umuhimu wa mahari tena unaweza ukalipa mara 2 ya mahari
vp wewe umeolewa?Itakua
Wanasusia kuzika (hawatataka mwanawe azikwe) mpaka mahari itolewe.akifa inakuaje mkuu
Nimekupata mkuu nshawahi kusikia hili jambo zamanWanasusia kuzika (hawatataka mwanawe azikwe) mpaka mahari itolewe.
Kwa hiyo hapa utalazimika ww na ndugu zako mchange ili mahari ipatikane. La sivyo mtakaa na maiti hata km mwaka ndani kwako.
Mahari muhimu sana ndugu tena ni lazima.
Km hauna bora uongee na wazazi wao kbs kuliko kuoa kinyemera tu
Ndiyo hivyo mkuu. Kujiongeza ni muhimu sana.Nimekupata mkuu nshawahi kusikia hili jambo zaman
Msiba ni ishu sana mkuu tena mpendwa wako mbona utatamani uingie kaburini wewe? ila naona wazaz wanaojitambua sio fresh kususia msiba wa mwanao haisaidi chochote zaid ya kuiabisha maiti na kumumiza mme tuu, wazaz wenye kaliba hii ni hatar mnoNdiyo hivyo mkuu. Kujiongeza ni muhimu sana.
Hii kitu usikie kwa watu tu, usiombe ikikute.
Ni hatari sana