Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
Mkuu vipi hauna mdogo wako nioe?? Maana atakuwa kama ww
Siyakukothamela Sonini na nini
Hapana, alafu mimi nilikuwa mstaarabu sio mtu wa show off. Na baba A nae pia hakuwa mtu wa sifa sifa, lakini miaka yote mitatu ya chuo hakutongiza mwanamke mwingine ni mimi tu. Nami pia sikuwa na skendo za gizagiza... kabla ya kuwa wapenzi alikuwa rafiki yangu tulisaidiana masomo na hata mambo ya kiuchumi kwa kiasi...!!
Mpaka leo hii tukikumbuka mazuri na magumumu tuliyoshiriki pamoja tunafurahi na kupata faraja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyakukothamela Sonini na nini