Je, kuna ukweli wowote katika hili.?

Je, kuna ukweli wowote katika hili.?

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Kuzoeana sana na manzi, ni kweli kunaleta ugumu ukitaka kumtokea??
 
Kuzoeana sana na manzi, ni kweli kunaleta ugumu ukitaka kumtokea??
Hapana haileti ugumu, isipokuwa ukiwa na matani mabovu naye ndiyo inakuwa ngumu mno kumtokea.

Labda ufikirie nje ya box ndiyo unaweza kufanikisha mpango wako
 
Kina ukweli ulichosema
Mazoea hayazuii kumpata mtu, tena wa namna hiyo hata mkija kuachana mtakuwa karibu vilevie. Maana mlishakuwa karibu mno, hata kabla hujampata.

Utani ni kitu kingine kabisa, ukiwa nao inabidi uutumie huohuo kuhakikisha unampata vinginevyo utaishia kumkosa. Maana kila ukimchombeza ataona ni utani,
 
Baadhi ya watu niliwasikia, "Dah! ningemtokea ila tumezoeana sana huenda asiamini"
Mi mwenyewe nnapompenda mwanamke na nikawa na lengo la kumtongoza hua sipendi kua na mazoea nae zaidi ya salamu.
Nkiwa na mazoea nae sana itabidi nitumie nguvu nyingi na muda mrefu kumpata tofauti na yule ambae sina mazoea nae.
Ila kila mtu hua ana namna yake na mbinu zake za kuapproach.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Mazoea ya kupitiliza jau
 
Mazoea ya kupitiliza jau
Mi sipendagi kabisa na demu nikishamzoea hata nimpende vipi hua sianzi kumtongoza labda aanze yeye kunitongoza au sanasana tutajikuta tumekulana bila hata ya kutongozana.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom