GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,415
- 127,506
- Thread starter
- #21
Mkuu usinilazimishe kukubaliana na wewe au tu kuandika kitakachokupendeza wewe,hii mada umeileta kila mtu achangie kwa uhuru wake,kama utalazimisha watu wakubali tu kua walianzia na hao mabeki 3 basi hakukua na haja ya kuanzisha hii thd ikiwa umeshakuja na majibu ya watu utakao wauliza.Kwani Mwizi / Kibaka huwa anajitaja?
Mkuu usinilazimishe kukubaliana na wewe au tu kuandika kitakachokupendeza wewe,hii mada umeileta kila mtu achangie kwa uhuru wake,kama utalazimishe watu wakubali tu kua walianzia na hao mabeki 3 basi hakukua na haja ya kuanzisha hii thd ikiwa umeshakuja na majibu ya watu utakao wauliza.
Kwamba 99.9% ya Wanaume waliozaliwa kati ya mwaka 1970 hadi 1985 wamejifunza kufanya Ngono kupitia kwa Mabeki Tatu au Wadada wa Kazi?
Haya wale Wanaume mlioanzia ' Kupasha ' kwa Mahausigeli wa hiyo miaka tajwa hapo juu hebu jitokezeni haraka ili mtiririke na mserereke wenyewe ili Sisi tuliozaliwa miaka ya 2000 tuweze Kujifunza lolote.
Nawasilisha.
hakuna povu hapo bali nimekutahadharisha tu kuwaacha wachangiaji wachangie kwa uhuru nawe uheshimu michango yao na si kuwalazimisha kua walianza na mabeki 3 ila wanaficha,sisi wakongwe "enzi hizo" hao mabeki 3 walikua nadra sana.' Povu ' lote hili la OMO la nini sasa Mkuu? Umevurugwa nini leo huko uliko hivyo unataka kuniangushia Jumba bovu Mimi?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Ingekua tuliojifunza hizo mambo kwa kubaka mbuzi na kuku, labda ningesema neno mkuu
hakuna povu hapo bali nimekutahadharisha tu kuwaacha wachangiaji wachangie kwa uhuru nawe uheshimu michango yao na si kuwalazimisha kua walianza na mabeki 3 ila wanaficha,sisi wakongwe "enzi hizo" hao mabeki 3 walikua nadra sana.
What's wrong mkuu...[emoji45] [emoji45]😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
mmmmmmh, ni mzuri mashallah sanaaaaaaaaaa, na anatupenda sanaaaa..Hapo ulipotaja tu jina la Khadija ( House Maid ) umenishtua sana Mkuu ila hata hivyo naomba niishie hapa tafadhali.