Je kuna ukweli kwenye haya ?

kuna mambo mengi yanayopelekea kufanya hayo ,hamna sababu moja unayoweza kuiweka ikaleta jibu sidhani kama kuna binadamu unayempa vote halafu akacheat labda kama akili yake ina matatizo,..... angalia hata ndoa no 1 mume anatoa kila kitu lakini mke anagugumia na ulevi wa mume, umalaya nk



Chauro nikuulize swali....
Why do women cheats?
Especially kama kila kitu unampa?
 
ni kweli watu huwa wanapretend au ndo walivo vipi iyo ya pili baba amenyimwa uhuru gani hapo hujafafanua vizuri

hiyo lete nilete,ama nusu kwa nusu hata kama mzee anapokea mshiko mwingi..hapa kuna namna fulani inayopunguza ushirikiano coz at the end of the day itaonekana unbalanced
 
kiafrika-afrika tuna tatizo kubwa la kutofautisha ndoa (kimila na kimaandishi), mapenzi, na majukumu

Ndoa ya maana na iliyokuwepo since day 1 ya dunia na historia yake... ni ndoa yenye majukumu, wajibu na utumishi....

Ndoa ya sasa, ni ile ya usawa, mapenzi (sio upendo) na haki

binafsi chauro mimi nadhani ndoa yako ni wewe uamuavyo
 
sikubaliani sana na neno kiafrika africa sababu mambo mengi watu wanayorithi yanachangiwa na malezi kwa kiasi kikubwa bado naamini kuna waafrica wanaelewa kutofautisha kati ya category 2 ulizoanisha hapo juu.

naamini kwenye category no 1 though .........!

pamoja na kusema ndoa ni mtu aamuavyo.... vipi kusahau kuwa huu ni muunganiko wa watu wawili tena ulio na mkataba ndani yake je hatuhitaji ushirikishwaji wa upande wa pili kabla ya kuamua mimi nitakavyo?

OTE=TIMING;3876649]kiafrika-afrika tuna tatizo kubwa la kutofautisha ndoa (kimila na kimaandishi), mapenzi, na majukumu

Ndoa ya maana na iliyokuwepo since day 1 ya dunia na historia yake... ni ndoa yenye majukumu, wajibu na utumishi....

Ndoa ya sasa, ni ile ya usawa, mapenzi (sio upendo) na haki

binafsi chauro mimi nadhani ndoa yako ni wewe uamuavyo[/QUOTE]

 
ndio maana nilitoa anagalizo chini

kuna watu wamesoma lakini elimu haijawakomboa....

uzuri upo kwenye macho ya mtazamaji...

hapa naongelea waswahili boss hao wengine sina uzoefu nao.

Tatizo umeandikwa kwa ku generalize mno
watu tupo tofauti mno.....

Ukisema mwanamke

mfan o 1.. Anatoka familia tajiri au maskini
2.ana elimu ya kiwango kipi?
3.ana uzuri wa kiwango kipi?
4.anatoka culture ipi,mhindi au mwarabu au mchanganyiko au mswahili...?

Hayo ni machache tu...
 
Back
Top Bottom