Je, kuna ukweli kuwa wanawake wa kiafrika hawako huru kitandani?

yah kutokujiamini ni sababu kubwa sana ya mwanamke kutokufika killeleni!
 
kwa majibu ya tafiti wanawke wengi wa kisenegali walsema wanafanya ili kuwaridhisha weni wao. sasa je hapa kwetu ni kweli?


mara nyingi wanawake wengi huwa hawako ktk mood ya kuti*ana..
Anavyofake orgy si kwamba anataka amridhishe mwanaume ila anatka kuacha t*iana as anaona ni kero..

Nimeliexperience hli pia..
 

Lakini umesahau wakati mwingine hata Mwanaume unaweza kulazimishwa kufanya mapenzi na mtu usiyempenda na uka fake kwamba umepizi....lol
 
kuna siku nakumbuka tulikuwa tunatoka msibani, tupo kwenye gari 1 wamama 5, wenzangu wote ni wamama wazima wana watoto wapo vyuo vikuu. stori za wamama zikaanza, mama mmoja akatuuliza kama wamama nao wanafika kama wababa, tukamshangaa, yeye anasema hajawahi, na ana watoto 4. sasa huyo mama siyo kama ana-fake, maana hata hajui kama kuna kufika............ nikashangaa huyo mume ambaye anaweza kuishi na mkewe miaka yote hiyo, siku zinaenda na maisha yanaendelea.
 
mh sio wote kuna ambao akikupenda eh anajiachia mpaka wewe mwanaume ndio unakua unaona aibu....kuna some women who are crazy so to speak
 
mie nasema kuwa unajua bwana every lady has a nwty side sasa mwaname lazima aweze kumuweka lady at ease ili nawe awe huru kuji-express. sasa tatizo ya sie wanaume tunakuwa judgemntal sana...demu akionyesha makeke basi loh unaanza uliza huyu mileage itakuwa kubwa sana.....sasa inhibitions zinakuwepo hilo tulikubali ila wewe mwanaume ukiwa free unajoke kuhusu ur nawty side au fantasies zako utakuta demu nae anakuwa muwazi. sio wewe wataka demu awe free alafu kumbe unaanza kumjudge ah wee umalay* huo....hapo demu lazima auwe kama gogo
 
...Kulikuwa na topic kama hii katika site moja ambayo huwa napenda kuingia. Wachangiaji wengi ni weusi. Wachangiaji wengi wa kiume weusi walihitimisha kwamba pamoja na kuwa wanapenda sana kuwa na wanawake weusi kwani wanaenjoy zaidi lakini wanawake wa kizungu ni watundu mno na hawana matatizo kabisa na mambo mbali mbali yanayofanyika kunako sita kwa sita ingawaje walidai wanaona kuna improvement katika miaka ya karibuni kwa wanawake weusi na wengi walidai wanadhani imechangiwa sana na utandawazi.

Kuna wanawake nao wakachangia kwamba hata wanaume weusi si watungu kihivyo ukilinganisha na wanaume wa kizungu na mdada miaka ya nyuma kama aliomba kufanyiwa mambo fulani fulani basi aliweza kuambuliwa mkong'oto maana wanaume weusi walikuwa hawafanyi hayo mambo kabisaaa.


 
Last edited by a moderator:
Lakini umesahau wakati mwingine hata Mwanaume unaweza kulazimishwa kufanya mapenzi na mtu usiyempenda na uka fake kwamba umepizi....lol
Hivi zinavyomiminika huwa hawazisikilizii!!! Mwanamke mzoefu atajua tu kuwa hapa hujapizi.
 
Sasa kama mtu anataka kila siku kwa nini usi-fake sometimes???

Za ukweli zipo na za uongo zipo
Mradi maisha yanasonga.

hii kali sasa Kongosho mtu atataka kila siku pasi wewe kuridhia kwamba akufanye? na kama umekubali kwanini usijiachie tu?
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli kwenye sex,aibu ni kitu ambacho kinaondoa utam na starehe yote ya tendo,mnapokuwa huru bila kuoneana haya mambo huwa matam sana.Unamwambia papasa hapa,cheza na mike hivi,pitisha ulimi hapa,tena unamsaidia kujua maeneo muhimu.Nyakati flan hivi kabla sijaamua kuwa single,niliwahi kumpata dada mmoja hivi,yeye alichokua anajua ni kulala chali baasi,yaani mpaka inakera!
 
snowhite big up sana tu. umenena ma dearest. lakini kweli inakuwaje hata mtu uish miaka kadhaa ndani ya mahusiano kweli ushindwe hata mara moja kufikia orgasm? ni sabababu hizo hizo ama ni maumbile?
 
Last edited by a moderator:
hii kali sasa Kongosho mtu atataka kila siku pasi wewe kuridhia kwamba akufanye? na kama umekubali kwanini usijiachie tu?

Labda anakubali kumpa kila siku kwakuwaq ni mke halali wa ndoa sasa mumewe anataka yeye atakataaje?
Kinachowaponza wanawake wengi hadi kufikia hatua hiyo ni kuhofia mume kutafuta nyumba ndogo kama mkewe hataki kumpa kadri anavyotaka.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli Ndio wanaowafaa wanaume Wa kiafrika, we mwafrika Unataka Tabia za wanawake Wa kizungu za nini? Porno ee Ndo zakufundisha? Wanawake Wa ki Africa are the best of all for African, na Wa kizungu kwa wazungu acha ulimbekeni!


 
Fixed Point mimi ninamt namfaham ambaye ni mama wa wtoto 4 mkubwa anasoma sekondari jamani huyu dada kweli hajui hata kama watu huwa wanafkia orgasm. huwa anauliza hivi kilele ndo nini? hajui hata kama kuna raha yeye hufanya kwasababu anaish na mwanaume na siyo kwamba anajua nini kipo.
 
Last edited by a moderator:
snowhite big up sana tu. umenena ma dearest. lakini kweli inakuwaje hata mtu uish miaka kadhaa ndani ya mahusiano kweli ushindwe hata mara moja kufikia orgasm? ni sabababu hizo hizo ama ni maumbile?

gfsonwin hivi mwanamke ambaye hajawahi kufika kileleni tangu aanze majamboz anaweza kujua kwamba hafiki/hafikishwi?
Mimi nilidhani wale ambao walishawahi kufikishwa sasa wakikutana na wanaume ambao hawawafikishi ndio wanaweza kujua kwamba hawafiki.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…