Je, kuna ukweli kuwa wanawake wa kiafrika hawako huru kitandani?

Sasa kama mtu anataka kila siku kwa nini usi-fake sometimes???

Za ukweli zipo na za uongo zipo
Mradi maisha yanasonga.
 
Dah!!! umenena..bless u!



inaweza ikawa kweli,since mi nimeshakutana na watu wengu tu wanakwambia hajui kama mwanamke anfika kileleni kama mwanaume na ni watu tayari wana watoto na ndoa za muda mrefu tu!kimsingi hili linasababishwa na vitu vingi labda nijaribu kuvainisha hapa then wadau watachangi
1.wanawake wengi wanaamini kuwa wanaume ndo wwanatakiwa kuridhika /kufika kileleni wakati wa tendo hivyo wakati linafanyika yeye akili anaiweke katika kumridhisha mwanaume na si kuridhika pamoja nae
2.wanaume wengi si wabunifu kiasi cha kujua wenzi wao wanahitaji nini au wanataka nini wakati wa tendo,wanaamini kuwa kazi ya ubunifu ni ya mwanamke
3.wanawake wengi kulingana na aina ya malezi na makuzi tuliyonayo wanaamini kuonyesha mahitaji yako kihisia ni umalaya hivyo mara nyingi hujikuta hata kama hajaridhika hana nafasi ya kueleza hilo so anabaki kufa na tai shingoni
4.wanawake wengi wanaingia kwenye tendo la ndoa kama wajibu tu na si furaha humo ndo unakutana na sentensi kama 'sa ntafanyaje na nimeolewa'
5.ndoa/mahusiano mengi hayana mawasiliano hivyo mwanamke hawi kwenye nafasi ya kuleza linalomkera hvo tendo linafanyika ilhali mmoja hayupo kabisa
6.wanawake wengi wanaamini miili yao ndo silaha hvyo kuitumia kama chambo kupata wanachotaka kwa wanaume hivyo anakuwa hajali hisi zake zaidi ya kukbali kutumia kama chombo
7.wanawake wengi hawaijui miili yao,katika maana kuwa anafanya tendo kama tartibu na vigezo kuzingatiwa
8.wanaume wengi ni wababe katika mahusiano/ndoa hivyo wanawake wanakuwa wanhofia kueleza tatizo liko mahala gani
9.wanawake wengi baada ya kuzaa huamini hawavutii tena kimapenzi hivo kuamini kuwa tendo la ndoa ni kwa huruma tu ya mume kwa kuwa maemua na si haki yake
10.wanawake wengi huwa na uoga tu kuwa waume zao si waaminifu katika ndoa/mahusiano so hawezi kujiachia kihisia kwani ana hpfu ya magonjwa,watoto wa nje.matusi kutoka kwa mahawara wa waume,na mambo mengi yanayofanania
MY TAKE
LADIES
-furahia ndoa/mahusiano yako
-onyesha kuwa nawe una mahitaji kama mwanadamu
-muonyeshe mumeo /mpenzi lipi linakufurahisha
-buni vitu tofauti kwa ajili ya tendo sio kila siku kitandani chumbani kwenu!sio kila siku kifo cha mende.sio kila siku ukiingia kulala na kanga ile ile
-tumia ujuzi wako kupika vyakula tofauti vya kujenga mwili wa mume/mpenzi acheni kuwapa hawa wanaume vyakula artificial
-msifie mumeo/mpenzi
-mwili wako ni zaidi ya K,una vingi sana mwilini mwako ukivitumia kwa usahihi utaona raha yake!
nawasilisha!
 
nadhani somo la kufake nimefeli............ kuna siku nilichoka sana. nilikuwa nimetoka safari, nikamwonea huruma jamaa nikasema ngoja nitimize wajibe, si nika-fake.... jamaa alini-mind na alisikitika sana........... tangu siku hiyo sithubutu
 
nadhani somo la kufake nimefeli............ kuna siku nilichoka sana. nilikuwa nimetoka safari, nikamwonea huruma jamaa nikasema ngoja nitimize wajibe, si nika-fake.... jamaa alini-mind na alisikitika sana........... tangu siku hiyo sithubutu[/QUOTE]

Good woman....
 
nadhani somo la kufake nimefeli............ kuna siku nilichoka sana. nilikuwa nimetoka safari, nikamwonea huruma jamaa nikasema ngoja nitimize wajibe, si nika-fake.... jamaa alini-mind na alisikitika sana........... tangu siku hiyo sithubutu
wala si masikhwar kwa mwanaume anayekujua anajua tu huyu akiwa kafika ile kiukweli anakuwaje!labda kama mtu hamjui mkewe.yani lazima shem alisema sana manake kwanza alikuona huamini kuwa atakuamini kuwa umechoka,yani naweza kuelewa ulijisikiaje!lakini watu wanafanya hivo katika ndoa zao muda wote!
 
wala si masikhwar kwa mwanaume anayekujua anajua tu huyu akiwa kafika ile kiukweli anakuwaje!labda kama mtu hamjui mkewe.yani lazima shem alisema sana manake kwanza alikuona huamini kuwa atakuamini kuwa umechoka,yani naweza kuelewa ulijisikiaje!lakini watu wanafanya hivo katika ndoa zao muda wote!
sasa changany mtu tumekaa miaka kibao ananijua haswaaaaaaaaaa, tena ndo unajifunza huko kufake, mbona ilikuwa balaaa. yaani sitarudia, maana alinisema mpaka nikakumbuka lectures za mama.
ila nilijilaumu sana baadae.
 
hata kumtekenya huko huwa anaona aibu na kuforce umfanyie penetration. kwani anajua atleast wewe ukimaliza basi yeye hana neno.
yah kuna mtoto mmoja huwa hapendi nimtekenye kwenye k anaona aibu sana.......sijui ni kwanini wanawake wengi wanakuwa na hii aibu



wanawake wengi ambao huwa hawajiamini na miili na maumbile yao uwa si wazuri sana ktk foreplay...

Utakuta mwanamke labda anamtindi mkubwa na umelala ni wazi kabisa huwazuia wanaume kuuchezea,

Aananuka mdomo na jasho analotoa linakua na harufu kali,

K inakua na maji mengi na harufu kali..mwnamke mwenye hii huzuia mikono ya mwanaume ischezee K..kwani anajua ataumbuka na jamaa anaweza kuahirisha game

na ukikutana na wanawake wenye hyo sifa ndo mara nyingi hukaaga kama magogo as anakua hataki kuviamsha vilivyolala..aibu na kuogopa umbuka.

Nimeli experience hili
 
sasa changany mtu tumekaa miaka kibao ananijua haswaaaaaaaaaa, tena ndo unajifunza huko kufake, mbona ilikuwa balaaa. yaani sitarudia, maana alinisema mpaka nikakumbuka lectures za mama.
ila nilijilaumu sana baadae.

i can imagine dadangu,ila sasa mambo mengi yanafanya wanawake tunafanya hivo,we case yako ilikuwa ni hiyo tena ni mara moja,lakini wengine hayo ndo maisha ya kila siku,na wala kwao si tatizo na pengine mwanaume hajui au hajali kama mkewe anafake wala nini,ni kanyaga twende watoto wanazaliwa na kukua kisha wanazaliwa wengine mpaka wanazeeka!we unafikiri ni kwanini wanawake wakfika age kuanzi 40+huwa na mhamasiko wa hali ya juu kihisia?mi naongea na wamama wengi na wengi wanakiri hili.
 
Back
Top Bottom