Je, kuna ukweli kuhusu uwepo wa mti huu?

Je, kuna ukweli kuhusu uwepo wa mti huu?

Invigilator

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
3,219
Reaction score
6,080
Salaam,

Katika pitapita zangu nimekutana na habari kuhusu mti huu wa ajabu na wenye Matunda ya kutisha unaoitwa ZAQQUM.

1476276121374.jpg


1476276129075.jpg


Mwenye elimu yoyote kuhusiana na hili suala atujuze zaidi.

Karibuni!!
 
mmmm nimejaribu kugugo nimeona maluwe luwe tu.... ni mambo ya kusadikika. Ngoja na wenzetu wagugo watueleze
 
Si ungem PM mzee Kingunge tu mkuu?mbona tupo nae humuhumu ndani?au huijui ID yake ya humu ndani kwetu?
Siijui mkuuu,humu kuna kingunge kumbe [emoji23] [emoji23] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom