Achimwene2014
Senior Member
- Jul 15, 2017
- 150
- 163
Mkuu nina rafiki yangu kaniambia alituma ujumbe kwa e-mail kajibiwa hivyo ila nilimshauri asitume kitu.Changa hilo ingia kichwakichwa wakutafune.
Matapeli ambayo hayajaenda shule hayo. Barua ya ovyo kabisa hata mwanangu wa std I akiisoma huo mtiririko na mpangilio wake anagundua kuwa imeandikwa na makanjanja.Salaam wakuu.
Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs 350,000/= kwa ajili ya kukutumia hati ya uhamisho.
OMBI:
Mamlaka zinazohusika ziwafuatilie hawa jamaa endapo si kweli kwani huku mtaani watu wanarubuniwa na hawa jamaa. View attachment 824584
Nina mashaka na hiyo jela ndio maana nasema kuwa makini itakuwa km zile interview unaambiwa utoe pesa za venue na gharama zingine.Mkuu nina rafiki yangu kaniambia alituma ujumbe kwa e-mail kajibiwa hivyo ila nilimshauri asitume kitu.
1. Serikali na taasisi zake hazitumii barua pepe za makampuni binafsi kama Gmail, yahoo, Hotmail etc bali barua pepe za serikali. (Hivyo hiyo email siyo ya TAMISEMI meaning mwandishi siyo TAMISEMISalaam wakuu.
Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs 350,000/= kwa ajili ya kukutumia hati ya uhamisho.
OMBI:
Mamlaka zinazohusika ziwafuatilie hawa jamaa endapo si kweli kwani huku mtaani watu wanarubuniwa na hawa jamaa. View attachment 824584
Utaibiwa wewe yaan acha kabisa kumtumia mtu pesa usiemfaham eti kisa utimiziwe lengo lakoSalaam wakuu.
Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs 350,000/= kwa ajili ya kukutumia hati ya uhamisho.
OMBI:
Mamlaka zinazohusika ziwafuatilie hawa jamaa endapo si kweli kwani huku mtaani watu wanarubuniwa na hawa jamaa. View attachment 824584
Naona una huelewi tuma uliweMkuu nina rafiki yangu kaniambia alituma ujumbe kwa e-mail kajibiwa hivyo ila nilimshauri asitume kitu.
Barua yenyewe pia haina address upande wa kulia. Pia email address as serikali hazitumii gmail, hotmail wala yahoo. Barua ina kasoro nyingi sana. Email zote za serikali huwa zinakuwa addressed kwa Katibu Mkuu. Hata signature inatakiwa iwe juu ya jina na siyo chini kama ilivyo hapo. Kwa ufupi barua ni fake.Salaam wakuu.
Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs 350,000/= kwa ajili ya kukutumia hati ya uhamisho.
OMBI:
Mamlaka zinazohusika ziwafuatilie hawa jamaa endapo si kweli kwani huku mtaani watu wanarubuniwa na hawa jamaa. View attachment 824584
Barua za serikali, huandikwa kwa umakini, na weledi mkubwa, si kama hii.Salaam wakuu.
Kuna barua inasambaa mitandaoni kuhusu walimu wanaotaka kubadilisha kituo cha kazi. Cha ajabu hawa jamaa wanajibu barua yako ndani ya masaa 48 na wanataka uwatumie pesa Tshs 350,000/= kwa ajili ya kukutumia hati ya uhamisho.
OMBI:
Mamlaka zinazohusika ziwafuatilie hawa jamaa endapo si kweli kwani huku mtaani watu wanarubuniwa na hawa jamaa. View attachment 824584
Mwandishi ameandika barua halafu anataka tena mwenyewe apitisheBarua yenyewe pia haina address upande wa kulia. Pia email address as serikali hazitumii gmail, hotmail wala yahoo. Barua ina kasoro nyingi sana. Email zote za serikali huwa zinakuwa addressed kwa Katibu Mkuu. Hata signature inatakiwa iwe juu ya jina na siyo chini kama ilivyo hapo. Kwa ufupi barua ni fake.