Mi binafsi sina jibu halisia kibaolojia , but nahisi ni mentality tu, cause sioni uhusiano wowote kuhusu sauti za watu zinazoingia masikio na kuwa transalated na ubungo then busha li vibrate so nahisi ni mentality tu, mfano leo tukisema mtu mwenye nywele nyingi ukimpigia hayo makelele then kichwa kiwashwe possibily hiyo mentality ikiwa develop kwa mda mrefu kuna possibility hata wewe ukiwa na nywele nyingi mtu ukipigiwa makelel utawashwa, ni mtazamo ebu wenye majibu ya kisayansi waweke view zao piai know ur not sure,dat the problem,wats the biology behind the vibration,kwanini a-vibrate?
It might be true!!!,jf doctors we need ur views......:confused2:Mi binafsi sina jibu halisia kibaolojia , but nahisi ni mentality tu, cause sioni uhusiano wowote kuhusu sauti za watu zinazoingia masikio na kuwa transalated na ubungo then busha li vibrate so nahisi ni mentality tu, mfano leo tukisema mtu mwenye nywele nyingi ukimpigia hayo makelele then kichwa kiwashwe possibily hiyo mentality ikiwa develop kwa mda mrefu kuna possibility hata wewe ukiwa na nywele nyingi mtu ukipigiwa makelel utawashwa, ni mtazamo ebu wenye majibu ya kisayansi waweke view zao pia
Content manager na staff member nipo na mimi nasubria majibu hapa.Kwa faida yangu na wanaJF wenzangu, natamani kufahamu kisayansi uhusiano uliopo kati ya busha na msisimko unaoambatana na tabia ya kujambisha?...
Duuuh!! Mkuu hata mimi pia huwa naona wenye mabusha wakijambishwa wanaruka au kuanguka chini lakini sijui nini kinapelekea hivyo.Kwa faida yangu na wanaJF wenzangu, natamani kufahamu kisayansi uhusiano uliopo kati ya busha na msisimko unaoambatana na tabia ya kujambisha?
Watu wengi wa mikoa Ya Pwani wameshuhudia hili ninalolisema, kuna baadhi ya watu hususani wazee wakijambishwa huishiwa nguvu, ama hufanya mambo kinyume na hiari yao. Wengi wa watu hao huwa wanakabiliwa na tatizo la kende kujaa maji
Naamini madaktari na Wataalamu mliomo humu mtatusaidia kulifahamu hili tatizo