FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,070
- 40,732
Hii sio dini. Hawa ni wahuni ambao serikali inapaswa kuwashughulikia.Kiongozi wa imani anapofungua ofisi na kuchaji shs.100,000/= ili kumuona na kumuombea ‘mteja’ wake wa kiimani.
Faida inayopatikana hutumika katika kuendesha shughuli zingine za taasisi husika ya dini kama vile kulipia maji na umeme kwa maana nao pia ni binadamu na wana mahitaji kama wewe.Kuna bidhaa nyingine nyingi ambazo ‘wajasiriamali’ wa kiimani huziuza na kutengeneza faida,
Kama waumini wenyewe hawatoi sadaka na zaka ya kutosha unafikiri taasisi za dini zitajiendesha vp mkuu?Mtu anaponunua maji kwa shs. 500/=, kisha ‘akayabariki’ na kuyauza kwa shs. 5,000/= kwa kila chupa, je, hii si biashara?
Exactly kama ilivyo kwenye biashara zingine zinazolipa kodi, pia hutumia sehemu ya faida kulipia bill za umeme na maji.Faida inayopatikana hutumika katika kuendesha shughuli zingine za taasisi husika ya dini kama vile kulipia maji na umeme kwa maana nao pia ni binadamu na wana mahitaji kama wewe.
Kumbuka siku hizi ruzuku kutoka ughaibuni imepungua sana mkuu.
Sijasema wasikusanye mapato na kupata faida, ninachohoji ni kwanini hawalipi kodi ilihali wanavigezo vyote vya biashara?Kama waumini wenyewe hawatoi sadaka na zaka ya kutosha unafikiri taasisi za dini zitajiendesha vp mkuu?
Na kama anakidhi vigezo basi wapewe TIN number walipe kodiNaunga mkono hoja! Fikiria mtu kama pornboy🤔
Lile sio kanisa ni kitegauchumi hivyo anapaswa kulipa kodi. Si yeye tu bali makanisa yote, madhehebu yote, misikiti yote hadi waganga wa kienyeji
NdioNa kama anakidhi vigezo basi wapewe TIN number walipe kodi
Taasisi za dini sio taasisi za biashara ndio maana hawalipi kodi. Mkuu, alafu kumbuka taasisi imara za ndini ni nguzo uhimu sana katika kujenga jamii yenye kujaa amani na upendo.Sijasema wasikusanye mapato na kupata faida, ninachohoji ni kwanini hawalipi kodi ilihali wanavigezo vyote vya biashara?
Taasisi imara za dini hujenga jamii/taifa imara ndio maana viongozi wa dini ni sehemu ya kamati ya usalama ya wilaya, mkoa na taifa na sio viongozi wa biashara ambao sio sehemu ya kamati ya usalama ya pahala popote pale.Exactly kama ilivyo kwenye biashara zingine zinazolipa kodi, pia hutumia sehemu ya faida kulipia bill za umeme na maji.
Dini sio taasisi ya kibiashara ndio, ila Kama wanajishughulisha na michakato inayoangukia katika kundi la biashara, then kuna biashara ndani yakeTaasisi za dini sio taasisi za biashara ndio maana hawalipi kodi. Mkuu, alafu kumbuka taasisi imara za ndini ni nguzo uhimu sana katika kujenga jamii yenye kujaa amani na upendo.
Hakuna aliebishaTaasisi imara za dini hujenga jamii/taifa imara ndio maana viongozi wa dini ni sehemu ya kamati ya usalama ya wilaya, mkoa na taifa na sio viongozi wa biashara ambao sio sehemu ya kamati ya usalama ya pahala popote pale.
Mkuu, taasisi imara za ndini ni nguzo uhimu sana katika kujenga taifa/jamii yenye kujaa amani na upendo.Dini sio taasisi ya kibiashara ndio, ila Kama wanajishughulisha na michakato inayoangukia katika kundi la biashara, then kuna biashara ndani yake
Nani kabisha?Mkuu, taasisi imara za ndini ni nguzo uhimu sana katika kujenga taifa/jamii yenye kujaa amani na upendo.
SijuiNani kabisha?