Je kuna uasi unanukia chamani?

Je kuna uasi unanukia chamani?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,928
Reaction score
828,569
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbali
 
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
sio uasi bali mpasuko ambao unatokana na maslahi binafsi,au kutengwa hivyo mara tu ccm itakapotangaza wagombea wa ubunge,basi hapo ndipo mpasuko mkubwa utatokea
 
IMG-20250623-WA0314.jpg
 
Je hawa watakaa kimya na kufunika kombe mwanaharamu apite?
February
Mpini
Katelefoni
Pasta Gwa
Na maamuzi ya leo ya halfrey
Unaweza kuongeza na wengine.. Lakini inawezekana kabisa October mbaliView attachment 3404325
Nimeweka la Poleole , sidhani kama ni kweli, ana guts za kuandika hivyo na akabaki salama?
 
Back
Top Bottom