Je kuna tofauti kati ya animation na cartoon

hyle master

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
23
Nimekuwa nashidwa kutofautisha cartoon na animation msaada kwa mwenye uelewa na hizi kitu.....

cartoons pia ni animation. Sema animation zipo za 2D na 3D za 3D ni hizi za kisasa kama kung fu panda, wakati 2d ni kama za Ben 10 etc. kwa kifupi animation ni object ambazo zimefanywa ziweze pata movement kwa hiyo hata maandishi pia yanaweza kufanyiwa animation
Mkuu,
Naongezea hapo kidogo. Cartoons ni vikaragosi ambavyo aliyebuni ameweka taswira ya uhai ndani yake na hizi katuni zaweza kuwa katika miundo tofauti.
Strip form,
Comic form,
Animation,
Caricature form (Hapa katuni inafanana na taswira ya anayelengwa kuchorwa),
Panel form,
Editorial etc.

Hivyo kumbe Animation ni mfumo wa kuihuisha katuni iweze kufanya mambo ambayo kwetu watazamaji tunayaona kama filamu.

Lakini bado nakubaliana na maana uliyoitoa kuhusu aina za animation.
 
Nadhan umetoa best explanatuon and difference btn the two,animation refers to a moving object while cartoon is a fiction.
 
Animation ni moving picture inaweza kuwa chochote hata text kama alivyosema mdau hapo juu. Kuelewa zaidi nenda YouTube andika stop motion animation utaona animation ambazo ni tofauti kabisa na cartoon
 
Simple Animation ni ya wakubwa, cartoon ni za watoto. But kuingia a bit deeper nadhani animation zipo more realistic; ukiangalia jinsi the characters wanavyokuwa rendered, the shadowing,the realistic scenery while Cartoons zipo more more colourful, zipo 2-D or Flat (angalia the distance between the cartoon na the background).
 
Mbona cartoon pia ni aina ya animation, au unasema 3d animation ndio za wakubwa?
 
Nimepitia kidogo sources na naona upo sawa maana cartoon pia zinaitwa animated cartoons.. So cartoons ni 2d drawn or sketched while animation ni moving images.
 
cartoons pia ni animation. Sema animation zipo za 2D na 3D za 3D ni hizi za kisasa kama kung fu panda, wakati 2d ni kama za Ben 10 etc. kwa kifupi animation ni object ambazo zimefanywa ziweze pata movement kwa hiyo hata maandishi pia yanaweza kufanyiwa animation
Mkuu,
Naongezea hapo kidogo. Cartoons ni vikaragosi ambavyo aliyebuni ameweka taswira ya uhai ndani yake na hizi katuni zaweza kuwa katika miundo tofauti.
Strip form,
Comic form,
Animation,
Caricature form (Hapa katuni inafanana na taswira ya anayelengwa kuchorwa),
Panel form,
Editorial etc.

Hivyo kumbe Animation ni mfumo wa kuihuisha katuni iweze kufanya mambo ambayo kwetu watazamaji tunayaona kama filamu.

Lakini bado nakubaliana na maana uliyoitoa kuhusu aina za animation.

sasa nimepata mwanga wa hizi kitu...ahsanteni wakuu kwa kuchangia.
 
Back
Top Bottom