Je kuna tahadhari zimechukuliwa kuwahakikishia usalama watanzania waishio kenya

Oxpower

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,142
2,998
Tokea kauli ya mbunge wa jimbo la sherehe maarufu kama jaguar ya kutaka kwaondoa wageni nchini mwao kinguvu tukiwemo sisi watz.

Je kuna tahadhari zozote zilizochukuliwa kuwalinda wananchi wetu hata kama serikali ya kenya imekanusha lakini tahadhari ni muhimu.nikikumbuka yaliyotokea SA nakosa imani 100%.

Wakenya ni watu wa hovyo sana na wana hila sana,mbali na hii kauli kuna mambo mengi tu ya hovyo wamekua wakitufanyia sisi watanzania,kuanzi mtu mmoja mmoja,mashirika,makampuni mpaka kiserikali ila sisi watanzania tumekuwa wakimya mno.

Na sasa wameona waanze kuja wazi wazi ili kututisha wale tunaotaka kwenda na waliopo huko.

Na kutokana na hiyo kauli hata wale waliokuwa wanataka kufanya uhalifu juu ya wageni lakini walikuwa wanaogopa,saizi watafanya kwa uhuru wakijua kuna watu wakubwa watawasaport.

Niwazavyo mimi kauli ya jaguar sio yake peke yake.
 
cdhani ka hilo linawezekana ndani ya himaya nyingine zaidi zaidi ni tahadhari ndo hutolewa kwa wageni
 
Tokea kauli ya mbunge wa jimbo la sherehe maarufu kama jaguar ya kutaka kwaondoa wageni nchini mwao kinguvu tukiwemo sisi watz.

Je kuna tahadhari zozote zilizochukuliwa kuwalinda wananchi wetu hata kama serikali ya kenya imekanusha lakini tahadhari ni muhimu.nikikumbuka yaliyotokea SA nakosa imani 100%.

Wakenya ni watu wa hovyo sana na wana hila sana,mbali na hii kauli kuna mambo mengi tu ya hovyo wamekua wakitufanyia sisi watanzania,kuanzi mtu mmoja mmoja,mashirika,makampuni mpaka kiserikali ila sisi watanzania tumekuwa wakimya mno.

Na sasa wameona waanze kuja wazi wazi ili kututisha wale tunaotaka kwenda na waliopo huko.

Na kutokana na hiyo kauli hata wale waliokuwa wanataka kufanya uhalifu juu ya wageni lakini walikuwa wanaogopa,saizi watafanya kwa uhuru wakijua kuna watu wakubwa watawasaport.

Niwazavyo mimi kauli ya jaguar sio yake peke yake.
Kwani pumba wanazoongea wabunge wenu kule mjengoni ndizo mlizowatuma?
 
Hakuna haja ya tahadhali wewe waache tu wampige mtanzania utaona moto wake, tutaanzia mererani kwenye madini
 
Watz jiandaeni na dhahama, Jaguar katumwa nao serikali.
Msingoje kila mmoja akabidhiwe polisi wa kumlinda jilindeni wenyewe
 
Back
Top Bottom